Kwa nini hakuna mdahalo wa wagombea huko Arumeru mashariki?

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
tunapoelekea mwanzo wa mwisho wa kampeni za uchaguzi huko jimboni arumeru nimeshangazwa na kitendo cha wanahabari na taasisi mbalimbali kushindwa kuandaa mdahalo wa wagombea mpaka sasa.thamani au haki ya watu wa arumeru iko wapi?je tatizo ni pesa?
Rosemary mwakitwange and co hebu fikirieni hili au toeni sababu za kutofika arumeru tuwaelewe.
 
Hili Mi nilijua labda wamejisahau kwn tumeshazoea tukiona midahalo wakati wa kampeni lakini sasa hii hakunaga.

Bado siku tano labda watalonga!
 
Hili Mi nilijua labda wamejisahau kwn tumeshazoea tukiona midahalo wakati wa kampeni lakini sasa hii hakunaga.

Bado siku tano labda watalonga!
inawezekana wamejisahau au wamesahaulishwa kwa kupewa dau zuri zaidi.mdahalo ni muhimu sana tumechoka kusikia vijembe sasa ni wakati wa kusikia sera.
 
Inawezekana wamiliki wa vyombo vya habari vya binafsi(TV) wamepigwa mkwara, tusubiri vox media wafunguke kama wamenyimwa airtime au kulikoni!!!!!
 
Inawezekana wamiliki wa vyombo vya habari vya binafsi(TV) wamepigwa mkwara, tusubiri vox media wafunguke kama wamenyimwa airtime au kulikoni!!!!!

hapa ndipo ninapopata mashaka na uhuru wa vyombo vya habari.
 
Kiongozi hujaelewa ni kwa nini hawajaandaa mdahalo arumeru mashariki?Mpigie tido mhando akupe historical briefs!unacheza nini?usafi,utanashati, na ubunifu wako wa sabuni mpya ukikashifu nguo chafu ya baba yako unachomolewa maskani ukaishi kwa masela
 
Back
Top Bottom