Kwa nini hakukua waziri au naibu waziri kutoka Dar Es Salaam (kati ya Wabunge DSM?)?2010-2015?

franktemu123

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
1,400
1,451
Salam wadau!
Nimekuwa nikijiliuliza hivi Rais anatumia vigezo gani kuteua mawaziri? huwa anashauriana na nani? nikajaribu kumuuliza mheshimiwa mmoja wa huko serikalini akaniambia kuna kama ka Quota Scheme fulani hivi at least kila mkoa ama utoe waziri au Naibu waziri sasa nikiangalia kwa mkoa wa Dar es Salaam kwa sasa haujabahatika kupata nafasi ya Uwaziri or Unaibu uwaziri (ukiwaacha Mhe. Mnyika na Mdee toka CHADEMA) hawa wengine vp? MTEMVU (TEMEKE), ZUNGU(ILALA), KIGAMBONI,KINONDONI... maana Kagera TIBAIJUKA, MAGUFULI, MWANZA(NGELEJA), MARA(KABAKA, Gaudensia), KILIMANJARO (Maghembe, Chami, Dkt. Mathayo), Pwani(Kawambwa),Moro (Dkt. Nkya, Kombani, Mkulo), Arusha (Ole Medeye), Manyara (Nagu),Singida (Nyalandu), Rukwa (Pinda) Mbeya (Mwakyembe, Mwandosya), Iringa (Lukuvi),Tabora (Sitta), Zanzibar (Nahodha, Mwinyi), Kigoma(????), Mtwara( Ghasia kweli kweli....) Dodoma (Teu), Shinyanga (Maige), Tanga (Nundu), Ruvuma (Nchimbi)Lindi (Membe) Pwani (Malima mzee wa vimwana mpaka akalizwa) duuh! n.k. je hili la uteuz haliwez kuwa na formula inayoeleweka? kwa mfano kiwango cha elimu, experience, equity esp. kwa Gender!! umri na vigezo hivyo vikawekwa wazi?
 
KAMANDA , HIVI UMPE UWAZIRI MTU KAMA MTEMVU AU IDD AZZAN AMA ZALINA MADABIDA uNATEGEMEA NINI ?
 
Back
Top Bottom