Kwa nini gari za walinzi wa rais huwa zinahama kutoka lane moja hadi nyingine?

Naomba mchango yakinifu....nilishuhudia msafara wa rais hivi karibuni....huwa unatanguliwa na pikipiki...halafu gari ya polisi kama mbili hivi ambazo zinapeana distance kubwa.....baada ya hapo huwa kuna gari fulani aina ya bmw ambazo zinaambatana na gari alilopanda rais...cha ajabu gari hizo huwa zinahama kutoka lane moja hadi nyingine zikiwa na lengo la kui-sandwich ile gari aliyopanda rais huku wakiwa katika 80kph .nina shaka na manouvres hizo wanazofanya madereva huenda ni hatari kwa usalama wa mkuu wa nchi.....je wale madereva wana uzoefu gani? Ni madereva wa jeshi? Maswala haya ya usalama barabarani ni muhimu sana kujadiliwa... Je ni salama kwa rais kukaa kiti cha mbele akiwa anasafiri na gari kwenda lets say morogoro?naomba mtazamo

Ukisha kuwa Rais huna usalama wakati wote, wenye chuki na watu wenye mamlaka wako wengi sana, humu tu kuna mifano tosha.
 
Ningependa ile ya mbele izime ghafla.
Je kwenye ndege yake anakaa mbele au nyuma?au window seat?
 
Kwa mafuta yetu haya yakuchakachua napenda day moja limoja lizime gafla tuone picha la kihindi au kwa barabara zetu hz zilivyokuwa mbovu moja ipige shimo mpaka ipoteze uelekeo.
 
jamani mkuu wa kaya haamui mwenyewe kukaa either mbele or back seat anaelekezwa na wasaidizi wake kulingana na mazingira-mfano kujionea hali halisi ktk mazingira tofauti na maeneo tofauti,ikitokea amejiamlia kukaa atakavyo basi ujue huyo ni mkaidi na hivyo basi kuna mengi anayafanya kinyume na hadhi yake kama mkuu wa kaya hasa usiku
 
IMHO, kukaa mbele ni bora kuliko nyuma ocz mbele kuna air-bags in case ikitokea ajali..
 
Ningependa ile ya mbele izime ghafla.
Je kwenye ndege yake anakaa mbele au nyuma?au window seat?
Malfunction zinatokea.., kuna mwaka(sikumbuki vzr) george bush akiwa italy.., the beast lilizima ghafla.., lakn zilikua tatu kwny ile motorcade.., wakamuhamishia kwny lingine.., ila kazi ilukua kumhamisha kutoka beast lililoharibika kumuingiza kwny ile nyingine, alikua na laura.., secret service walijazana wengi sjui walitokea wapi na wote heavily armed na suti zao nyeusi na mkubwa wao nakumbuka alikua mdada mmoja anatoa amri huku bastola nje nje.., ngoja nicheki ile clip youtube kama wanayo niiwekee link hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom