Kwa nini gari za walinzi wa rais huwa zinahama kutoka lane moja hadi nyingine?

sikiolakufa

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
411
54
Naomba mchango yakinifu....nilishuhudia msafara wa rais hivi karibuni....huwa unatanguliwa na pikipiki...halafu gari ya polisi kama mbili hivi ambazo zinapeana distance kubwa.....baada ya hapo huwa kuna gari fulani aina ya bmw ambazo zinaambatana na gari alilopanda rais...cha ajabu gari hizo huwa zinahama kutoka lane moja hadi nyingine zikiwa na lengo la kui-sandwich ile gari aliyopanda rais huku wakiwa katika 80kph.

Nina shaka na manouvres hizo wanazofanya madereva huenda ni hatari kwa usalama wa mkuu wa nchi.....je wale madereva wana uzoefu gani? Ni madereva wa jeshi? Maswala haya ya usalama barabarani ni muhimu sana kujadiliwa...

Je ni salama kwa rais kukaa kiti cha mbele akiwa anasafiri na gari kwenda lets say morogoro?naomba mtazamo
 
Tumekuwa tukufanya hivi kwa miaka yote ya taifa letu. In fact tumeboresha zaidi huko kutanua baada ya 1984 ilipotokea ajali ya Sokoine. Madereva wote ni well trained so dont worry.
 
tumekuwa tukufanya hivi kwa miaka yote ya taifa letu. In fact tumeboresha zaidi huko kutanua baada ya 1984 ilipotokea ajali ya sokoine. Madereva wote ni well trained so dont worry.

vipi kuhusu rais kukaa siti ya mbele? Si hatari?
 
vipi kuhusu rais kukaa siti ya mbele? Si hatari?

Hapana..........anakaa mbele anapotumia SUV kwa kuwa kiti cha mbele ni comfortable na safer zaidi......anakaa nyuma katika limousine kutokana na protocals za awali (ambazo ziko kabla ya ujio wa SUVs) na hii ilitokana na ukweli kuwa awali sana kabla ya magari viongozi wa nchi walitumia magari ya kuvutwa kwa farasi ambayo huwa nyuma ya farasi kama hili

Polishing+the+carriage.jpg
 
Sisis tunashangaa Ambulance.......kuna Rais ana Fire engine kabisa kwenye msafara :lol::eyebrows:

images
 
Tumekuwa tukufanya hivi kwa miaka yote ya taifa letu. In fact tumeboresha zaidi huko kutanua baada ya 1984 ilipotokea ajali ya Sokoine. Madereva wote ni well trained so dont worry.
ubora wa barabara zetu je?
 
Mkuu wa kaya akiwa kwenye motorcade format deformation speed 110KM, TLK 1290 leading...TLK 2121 Manouver TLKA1278 Bluffing....TLK 3210 Engaging













mkuu wa kaya.jpg mkuu wa kaya.jpg
 
hyo ya kukaa mbele mi nadhani

huyu jamaa sianapenda totoz anatakaga mwenyewe ili azione vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom