Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
kwenye hivi vijiwe vya kahawa huwa wanaeneza nini hasa kwa maana nia ya chama chochote cha siasa ni kushika dola ,lakini kwa mtindo huu wa vijiweni mm
hawana la maana wanaloeneza zaidi ya kuimba wimbo wa hakiiiii!! After all cuf ni chama ambacho kina viongozi wenye poor vision from the top to lower level. Most of them are iliterate. Chama cha siasa lazima kiwe na strategic plan, either by attacking political competition in creating popularity. CUF ina bahati mbaya kuongozwa viongozi njaa.