Kwa nini couple hizi ni adimu?

hizo pair zote nimeshawahi kuziona tena zote zaidi ya pair ishirini niliziona kwa haraka, zipo!
 
ukisema pair unamaanisha waliooana kabisa? kama sivyo mbona mhindi na mswahili zipo sana shida hawawezi kufunga ndoa
 
ila inategemea na eneo unapoishi inawezekana ulipo hujawahi kuwaona, umesema mwarabu na msomali ni kawaida, nilipo mimi ni adimu kabisa, so inategemeana na sehemu na sehemu
 
Wakati mwingine mtu ukikaa sehemu moja kwa muda mrefu kama mti, huwezi kujua yanayoendelea upande wa pili.
 
Mhindi! na mswahili ninao, hata dada angu yuko na mhindi wana watoto wawili
 
Mhindi na mswahili?? Sio rahisi sana sana wanawasulubu tu dada zetu lakini wewe kumpata binti wa kihindi........
 
Pair ya mswahili mwanaume na mhindi mwanamke,na,mwarabu mwanamke na mswahili mwanaume hizi ni adimu ile mbaya.
 
mkuu kweli hao wapo,ila wachache sana,inawezkana mia kwa mmoja!na imeanza karbuni hasa kwa wahindi vs waswahili

"Muhindi na mswahili" imeanza karibuni?... Kwa hiyo maana yake Shyrose Bhanji (product ya muhindi na mswahili) ni wa siku za karibuni? Mbona anaonekana kijeba?
 
Kuna watz wengi tu aishio japan wameoa na kuolewa na wajapan...

Aaah, mbona wajepu kibao kitaa tena wanaadabu sana wale sema wako possesive ukiwa hujatulia itakua tabu ila hawana noma sema wahindi cku hz kidogo ndo wanagongwa ila kuolewa mh SIJAONAGA!
 
Back
Top Bottom