Kwa nini Congo DRC ubakaji umekithiri?

mdau wetu

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
548
58
Wadau wa JF bila shaka kwa wale wafuatiliaji wa habari wanafahamu kwamba, kila leo kumekuwa kukiripotiwa habari za kukithiri vitendo vya ubakaji katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Chanzo hasa cha kuongezeka vitendo hivi ni nini?
 
Haya ni matokeo ya kutokuwa na amani.
Hata Tz tukichezea amani yetu tutafika huko.
Ndiyo sababu waungwana wanawaelimisha CDM waache kuchezea amani tuliyonayo. Hope wataelewa kuwa wanachezea moto.

Wazalendo wa kweli tuendelee kuitunza amani yetu kwa gharama yeyote ile, tukiipoteza itakuwa ni vigumu sana kuirejesha.
 
Kwa asili it is xpensive 2 maintain a woman in DRC. Inabidi uwe nazo sana na hata mabinti wa huko kwenye mafunzo yao wanafundishwa kuwa hivyo. Hata hivyo kutokana na peace instability, men wana violate kanuni zao na ndo maana hali iko hivyo.
 
Haya ni matokeo ya kutokuwa na amani.
Hata Tz tukichezea amani yetu tutafika huko.
Ndiyo sababu waungwana wanawaelimisha CDM waache kuchezea amani tuliyonayo. Hope wataelewa kuwa wanachezea moto.

Wazalendo wa kweli tuendelee kuitunza amani yetu kwa gharama yeyote ile, tukiipoteza itakuwa ni vigumu sana kuirejesha.

Mbona hata CCM inawabaka watz kila siku? Hakuna amani hapa kuna imani. Vita ikianza lazima niwabake ccm wote
 
Haya ni matokeo ya kutokuwa na amani.
Hata Tz tukichezea amani yetu tutafika huko.
Ndiyo sababu waungwana wanawaelimisha CDM waache kuchezea amani tuliyonayo. Hope wataelewa kuwa wanachezea moto.

Wazalendo wa kweli tuendelee kuitunza amani yetu kwa gharama yeyote ile, tukiipoteza itakuwa ni vigumu sana kuirejesha.

Tanzania amani iko wapi?na Chadema wanaichezeaje hiyo amani?
 
duh kinyungu unatangaza kuwa utawabaka CCM? kaa sawa makachero wao wanakuwinda
 
Back
Top Bottom