Kwa nini cdm hawalivalii njuga suala la mgao wa umeme?

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
7,022
9,285
Katika vitu ambavyo vingeweza kuidhoofisha CCM na kuiondolea uhalali mbele ya wananchi ni suala la Umeme Usiokidhi Mahitaji hususan Mgao huu mkali wa umeme unaoendelea nchini, lakini cha ajabu ni kwamba Chama kikuu cha Upinzani CDM kimeshindwa kuonyesha leadership katika kuwapa wananchi platform ya kupiga kelele kali juu ya suala hili angalau tunaona chama cha CUF kimeiona hii opportunity lakini nao hawajaitumia ipasavyo, Mgao unaoendelea nchini ni mtaji mkubwa sana wa kisiasa kwa chama kinachofanya siasa, CDM mbona hamuichukui hii nafasi vyema?, nikimaanisha CHADEMA MAANDAMANO YA KUPINGA MGAO WA UMEME YAKO WAPI?
 
Nchi hii ni yetu sote so where is CCM wao hawaguswi kama CUF wamelivalia njuga well let them try if the cap fits.
 
Wengi tunatumia koroboi, ila mafuta ya taa yana..........!!
Labda wanamsubiri 'Ngerejaaa' mjengoni vita ianzie hapo.
 
Mbona hujawataja NCCR au wenyewe siyo wapinzani, CHADEMA walishafanya hayo mara kibao ila kwa kuwa serikali ya JK siyo sikivu
ndo maana unaona hadi mambo yanakuwa kama hivi, hivi Ngeleja anafanya nini serikalini ?? anajua majukumu yake kweli????
 
Mgao hauchagui mwanachama wa CCM, CUF wala wa CDM,
Pia hauchagui wanaofuatilia Siasa za Tanzania au wasiofuauilia.
hata wewe hapo ulipo una nafasi yako katika kupiga kelele juu ya hili, sio lazima CDM
 
nadhani hoja binafsi ya mh. David kafulila ya kulitaka bunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mwenye dhamana ya wizara ya nishati na madini mh. Ngereja imepata ushahidi sasa. Wabunge waungane kumwajibisha ngereja kwa kushindwa kuisimamia tanesco na pia kwa kushindwa kutekeleza maazimio 30 ya kamati ya bunge ya nishati na madini
 
Back
Top Bottom