Kwa nini bunge letu ni "part time"?

Kwame Nkrumah

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
886
376
Kazi kubwa ya Bunge ni kusimamia serikali, kuhakikisha serikali inafanya inachopaswa, na serikali inapokosea kuihoji na kuiwajibisha. Serikali inafanya kazi siku zote, je kwa nini chombo kilichoundwa kuisimamia kinafanya kazi "part time"? Kuna sababu yoyote iliyopekea hali hii?
 
Mkuu,

I guess hautopenda expenses zingine on top of the current B/S ya Bunge.Maanake watatukandamiza na budget zao na hata pesa za maendelea hazitokuwapo kwa sababu zinapelekwa kwenye kujadili.At one point kuna advantages but kwa upande mwingine,tutaliwa.Na hao Wabunge watakuwa wanakwenda kweli kuhudhuria au ndio itakuwa another side project?Mimi sishauri hilo ILA ningependa Bunge letu liendeshwe kiuwazi na kuruhusu maswali na majibu ya papo hapo mengi-system ya sasa ya kuwasilisha maswali kwa Waziri ajiandae,inatupotosha sisi wananchi.Kukiwa na maswali ya papo kwa papo,Mawaziri watakuwa at least wanajiandaa vya kutosha kukabiliana na siyo kutupa takwimu ambazo zimepikwa.

Nawasilisha!
 
Back
Top Bottom