Elections 2010 Kwa Nini "Bondia" Aliyevua Gloves Alaumiwe?

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969
JK alidai kuwa TAKRIMA haiwezi kwisha! Msemaji wake wa kujitolea Tendwa akaja kudai baadaye kwamba eti Rais wetu "alikuwa anatania!!" Vile vile alisema hajui kwa nini nchi yetu ni maskini! Kwa maana hiyo JK wetu hajui kwamba ufisadi unaleta umaskini!

Rais wa Marekani, Obama aliwahi kusema anashangaa Tanzania tunapewa misaada ya kifedha kisha tunawarudishia fedha hizo na kwenda kuzi-deposit tena Marekani!

Anyway, pointi yangu ni kwamba "bondia" wetu, JK, ameshavua "gloves," hataki tena kupigana, ya nini tena kumlazimisha kurudi "ulingoni" Okt 31? Kwa nini tusimweke "bondia" aliye tayari kwa kauli na vitendo kupigana? Hakuna haja ya kuendelea kumlaumu JK, maana amejiweka wazi kwamba hawezi kazi, tusimlazimishe!
 
Kikwete hakuwa anatani.
Kikwete ni mkumbatia rushwa

Kweli kabisa!

IMG_1157.JPG

Mgombea Urais chama cha CCM,Mh Jakaya Kikwete(kushoto) akifurahi jambo na Frederick Mwakalebela Iringa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom