kwa nini baadhi ya WANAWAKE wapo hivi???????

kwa nini baadhi ya wanawake wanatabia ya kurusha maneno ya kukashifu,kudharau au kukejeli pale wanapoomba kitu kwa wapenzi wao na kukikosa?
Utasikia mwanaume gani huna hela,mwanaume ndevu mara mwanaume suruali. Kwa nin wanafanya hivi?
Ila wakipata wakitakacho majina kama Baby,sweetie,my love my darling hua hayaishi.

Nawasilisha.

hapo huwa sioni haja yakujibu wala kuendelea nae. Na hii humfanya mwanaume atafute kipoozeo nje kitakachomfariji na kumshauri how to get money au kupanua wigo wakuaccumulate cash anazamia hukohuko. Kimsingi huko kitchen party na kwamwanamke anayejua kuwapesa huhitajika katika daily life ajifunze productive knowledge at family or love relations ili mumewe apate njia mbadala zakupata pesa si kutukanana mi ni bora nikuachie nyumba kuliko kuvumila matusi iwe vs na kwa wanaume tujifunze hili na hakuna kujishusha jinsia yoyote katka matusi haya.

Af wanawake haohao wanalalamika wanaume sio waoaji.

ATM ni machine ya kutunza fedha na kumrahisishia mtumiaji kupata pesa kwa haraka na kwa muda muhafaka kwake, kama ni hivyo kuna ubaya gani ukiwa ATM kwa Demu wako unayempenda anayekupa raha ya Dunia!

Let me be ATM, ATM just for her mbona yeye ana nifanyia makubwa zaidi na zaidi mtoto watu anapinda mgongo mpaka ubongo unachemka why shouldn't I be her ATM!? Let me be so.

Kuna mtu alimwomba BF wake pesa alikuwa na tatizo, jamaa alimwambia kwani mimi baba yako? unajua kwa majibu haya hata mie ningepata la kukujibu tu

Huwezi kuwa na mwenzi wako halafu hujui hata nguo ya ndani ana nunu vipi sembese pedi alafu labda hata kazi hana na hauna hata mpango wa kumsaidi lolote mapenzi gani hayo!

Pia nashangaaa kwenye hili nilishawahi kusikia mwanamke akimwambia bf wake kuwa "mind your own business" je neno hili likitumika kwa wapenzi ni zuri kweli? Au nidharau?

nilishawah kuambiwa "hayakuhusu", niliumia sana, nilichogundua baadaye ni kwamba hakunipenda hata kdogo.

ATM ni machine ya kutunza fedha na kumrahisishia mtumiaji kupata pesa kwa haraka na kwa muda muhafaka kwake, kama ni hivyo kuna ubaya gani ukiwa ATM kwa Demu wako unayempenda anayekupa raha ya Dunia! Let me be ATM, ATM just for her mbona yeye ana nifanyia makubwa zaidi na zaidi mtoto watu anapinda mgongo mpaka ubongo unachemka why shouldn't I be her ATM!? Let me be so.
usijifanye mtumwa kwa ajili ya penzi, mke kukupa penzi ni haki yako na yeye ni haki yake kupata toka kwako, na wewe pia ni chombo chake. Usimwone kama yeye ni chombo tu.

kwa nini baadhi ya wanawake wanatabia ya kurusha maneno ya kukashifu,kudharau au kukejeli pale wanapoomba kitu kwa wapenzi wao na kukikosa?
Utasikia mwanaume gani huna hela,mwanaume ndevu mara mwanaume suruali. Kwa nin wanafanya hivi?
Ila wakipata wakitakacho majina kama Baby,sweetie,my love my darling hua hayaishi.

Nawasilisha.

Tatizo ni wewe mwenyewe " mtoto mleavyo ndivyo akuwavyo"....

kwani mkianza mapenzi lugha inakuwa hivyo..sababu utakayo pata juu ya change ya lugha ndiyo jibu..ambalo mara nyingi linakaribiana na "Artificial Love"

usijifanye mtumwa kwa ajili ya penzi, mke kukupa penzi ni haki yako na yeye ni haki yake kupata toka kwako, na wewe pia ni chombo chake. Usimwone kama yeye ni chombo tu.

wewe ndio mtu husiyejua hata maana mke! sisi waislam sharti umuhudumie mwenzi wako, na hii si kwa waislam tu mtu yeyote ambaye yupo makini huwezi kuwa na mwanamke hata pesa ya pedi humpi mpaka achane kanga kipindi cha mwezi, kama huwezi kumuhudumia unamtafuta wa nini?

Kama bado huwezi kuhudumia mwanamke kaa pembeni dogo! Jisomee husije ukafeli masomo

ATM ni machine ya kutunza fedha na kumrahisishia mtumiaji kupata pesa kwa haraka na kwa muda muhafaka kwake, kama ni hivyo kuna ubaya gani ukiwa ATM kwa Demu wako unayempenda anayekupa raha ya Dunia!

Let me be ATM, ATM just for her mbona yeye ana nifanyia makubwa zaidi na zaidi mtoto watu anapinda mgongo mpaka ubongo unachemka why shouldn't I be her ATM!? Let me be so.

Daaah!
mi sina lakusema hapo mkuu.

Tatizo ni wewe mwenyewe " mtoto mleavyo ndivyo akuwavyo"....

kwani mkianza mapenzi lugha inakuwa hivyo..sababu utakayo pata juu ya change ya lugha ndiyo jibu..ambalo mara nyingi linakaribiana na "Artificial Love"

Kama jina lako la humu jamvini uliamua kujiita ZuMBUKUKU CNA HAJA YA KUTILIA SHAKA MCHANGO WAKO,MANA JINA NA MCHANGO WAENDANA.THENK U

Back
Top Bottom