kwa nini baadhi ya WANAWAKE wapo hivi???????

Mwanakili90

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,568
245
kwa nini baadhi ya wanawake wanatabia ya kurusha maneno ya kukashifu,kudharau au kukejeli pale wanapoomba kitu kwa wapenzi wao na kukikosa?
Utasikia mwanaume gani huna hela,mwanaume ndevu mara mwanaume suruali. Kwa nin wanafanya hivi?
Ila wakipata wakitakacho majina kama Baby,sweetie,my love my darling hua hayaishi.

Nawasilisha.

itategemea wewe umemjibu vipi wakati unaombwa pesa labda umetoa kashfa.....mwanamke anayekupenda na kukuthamini maneno kama hayo sio ustaarabu....... labda awe anakuchukulia kama ATM/kukuchuna

Pia nashangaaa kwenye hili nilishawahi kusikia mwanamke akimwambia bf wake kuwa "mind your own business" je neno hili likitumika kwa wapenzi ni zuri kweli? Au nidharau?

kwa nini baadhi ya wanawake wanatabia ya kurusha maneno ya kukashifu,kudharau au kukejeli pale wanapoomba kitu kwa wapenzi wao na kukikosa?
Utasikia mwanaume gani huna hela,mwanaume ndevu mara mwanaume suruali. Kwa nin wanafanya hivi?
Ila wakipata wakitakacho majina kama Baby,sweetie,my love my darling hua hayaishi.

Nawasilisha.

na je, ni kwa nini wanaume huwarushia matusi wanawake tena hadi ya nguoni, pale wananpowatongoza na kuwakataa? This goes to both sides.

Kwa sababu na
sisi ni binadamu tuna
react ipasavyo kutokana na
situation yenyewe......

Nadhan tutambue penzi la dhati ni lilelinalotoka ndani ya nyama za moyo. Upendo wa dhati huvumilia, pendo halitaki makuu, mimi naamini kuwa hama kitu duniani ambacho kinaweza kumfanya mwanadamu awenafuraha yadhati kama kujua kunamtu anayempenda kwa dhati ya moyo.. Kejeli, kashfa, matusi ni dhihirisho la kilichojifika moyoni.. Maranyingine nadhani ni uvivu wa kufikiri kwa baadhi ya wanawake ama nikutokana na kutokushirikishwa katika maamuzi muhimu ya kifamilia mwanamke anakuwa hana maamuzi na mpangilio wa fedha hapewi fursa ya kuchangia lau kimawazo maendeleo ya familia hii inapelekea ajione mtumwa ndani ya ndoa na asiekuwa na thamani hapa ndipo upendo unapo poa, na zao la upendo kupoa ndio dharau matusi na kejeli.. Wanaume tunapaswa kutazama tulipo jikwaa na sio tulipo angukia, na iwapo mwanamke unamshirikisha vilivyo katika nyanja zote lakini bado akataka vitu vilivyo nje ya uwezo wako! basi tambua huyo hana mapenzi yakweli na wewe... Siku shauri umwache la! kwani sio rahisi malaika kushuka kutoka mbinguni kuja kubadili tabia za wanadamu bali wanadamu tunapaswa turekebishane sisi kwa sisi, kumbuka usije ukatumia shoka ukucha unapofaa... Ahsante

Kumbe umemnyima sio kwamba huna alah hata mie ningekutukania kwa mbele (joke) bana mie huwa situkani

Umerera kindo meku.

na je, ni kwa nini wanaume huwarushia matusi wanawake tena hadi ya nguoni, pale wananpowatongoza na kuwakataa? This goes to both sides.

baadhi sio wote,mbona kukubali au kukataa ni maamuzi ya mtu binafsi inabidi wenye tabia hii kama wapo humu jamvini inabidi watujuze

kwa nini baadhi ya wanawake wanatabia ya kurusha maneno ya kukashifu,kudharau au kukejeli pale wanapoomba kitu kwa wapenzi wao na kukikosa?
Utasikia mwanaume gani huna hela,mwanaume ndevu mara mwanaume suruali. Kwa nin wanafanya hivi?
Ila wakipata wakitakacho majina kama Baby,sweetie,my love my darling hua hayaishi.

Nawasilisha.

Mwanamke wa aina hii hakufai. na hana mapenzi na wewe. Unakupenda kwa ajili ya pesa zako.
Ndio muda wa kufngua akili na kuchukua uamuzi muafaka!

He kumbe ndo mlivo,inamana Mimi naweza kua ATM?

Kama mtu anaupendo wa dhati hawezi kukujibu hivyo wala kukugeuza ATM ukimwambia huna atakuelewa ila kwa wale ambao wapo kimasilai zaidi ndo wanamajibu ya hivyo make anakuwa na wewe akiwa na malengo yake maalum sio kwa upendo wa dhati toka moyoni

mwanamke wa aina hiyo ujue kabisa hana mapenzi ya dhati na huyu mwanaume ila kuna kitu anachokitaka kwake coz angekuwa na mapenzi ya kweli angevumilia mpaka mwenzi wake akipata.

itategemea wewe umemjibu vipi wakati unaombwa pesa labda umetoa kashfa.....mwanamke anayekupenda na kukuthamini maneno kama hayo sio ustaarabu....... labda awe anakuchukulia kama ATM/kukuchuna
"We umesikia mi ATM!"
"ZINATAFUTWA"
"UNADHANI ZINAOKOTWA?"
"SIWAPI MACHANGU MIMI "n.K

"We umesikia mi ATM!"

"ZINATAFUTWA"

"UNADHANI ZINAOKOTWA?"

"SIWAPI MACHANGU MIMI "n.K

U knw the real mean of $.ndo 2natakiwa tuwe ivi

Back
Top Bottom