Kwa nini applications kwa ajili ya simu zinagoma kufanya kazi?

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,458
3,207
Naomba kujua, kwa nini ki-download application ambazo, kwa mujibu wa maelezo ni kwa ajili ya simu fulani kwa mfano Nokia E61i au S06v3, zinagoma ku-install au naambiwa "not compactible". Naomba msaada wenu.
AMANI IWE NASI.
 
angalia extension ya hiyo kitu unayotaka kuinstall...mara nyingi zinakuwa ni .jar au .jad..sasa kama unaweka .jar na inagoma jaribu kutafuta ambayo ipo kwenye .jad and vice versa..ikigoma na hapo am not sure..labda kuna tatizo kwenye simu yako but not sure!!
 
Zote zimekuwa zikigoma. Simu inaruhusu Java lakini nikiweka aplication za Java naambiwa "file format not supported". Hata sijui tatizo ni nini?
 
kwa ujanja wangu wa mambo ya simu mi ndo umeishia hapo...labda wengine watakuja kutujuza!!
 
Naomba kujua, kwa nini ki-download application ambazo, kwa mujibu wa maelezo ni kwa ajili ya simu fulani kwa mfano Nokia E61i au S06v3, zinagoma ku-install au naambiwa "not compactible". Naomba msaada wenu.
AMANI IWE NASI.

Simu gan watumia
 
Nokia E61i lakini application za .exe, .jad na baadhi ya .sis hazikubali installation au zikikubali hazifanyi kazi.
 
Sony ercson inaandika operation failed kwenye applications na games!
 
Me mydarling nokia5130,inaniambia no certificate found on sim or phone,yan nakosa raha coz naipenda sana hii simu,of all the vimeo,coz net ni faster..but ndo hivyo kudownload siwezi.
 
Inawezekana ulidelete hizo certificates!Hebu jaribu kuformat au restore factory settings BUT kumbuka kuback-up data zako muhimu before you do that!
 
JAMANI EBU TUELIMISHANE KIDOGO.

¤ kuna Application zinatengenezwa kwa ajili ya Simu Fulani pekee. Mfano iphone applictn kwa ajili ya Iphone na zingine

¤Huwezi kulazimisha application za exe au Cat kwenye symbian fn yako lazima zitagoma

¤Pia kuna Application za Symbian kwa ajili ya Simu Maalum tu. Mfano Whatsapp ina format ya sis au sisx lakini inaweza kukataa kwenye simu fulani fulani.na inakuandikia incompatible, kwahiyo usilazimishe Tafuta usitaarabu mwingine wa kununua simu yenye uwezo mkubwa zaidi ya hiyo.

¤Usidanganywe Na website zinazo-detect phone model yako na kukuletea Application zake si zote zitakubali maana hawapo perfect kihiivyo
 
well said mkuu
 
Me mydarling nokia5130,inaniambia no certificate found on sim or phone,yan nakosa raha coz naipenda sana hii simu,of all the vimeo,coz net ni faster..but ndo hivyo kudownload siwezi.

Ni application gani unayoshindwa kudownload?
 
Zote zimekuwa zikigoma. Simu inaruhusu Java lakini nikiweka aplication za Java naambiwa "file format not supported". Hata sijui tatizo ni nini?

Kanma simu yako ni Java platform na una install java apps zinagoma. Major issue itakuwa installation proceedures. Refer nokia support forum ili ujue installation proceedures za simu yako

Lakini kabla hata ya kwenda huko hebu jaribu kuhakikisha una free space ya kutosha kwenye memory card yako. Weka hiyo app file kwenye memory card halafu excute it from there
 
kwa utundu wng nnavyofaham kuna simu ambazo ktk authority certificate zk huwa zna expire mapema kama unavyojua ni mambo biashara mfano sim za nokia certificate zk huwa zna expire km baada ya miaka mitano au sita ili kupata soko ktk simu nyngne zny version mpya maana kama simu zao za zamani bado zinafanya kazi(kama certificate bado zinafunction) itakuwa ni ngumu sana mtu kwenda kununua simu mpya kama simu yake ya zamani bado inafanya kazi kwa ushaur wng bora ukanunue simu mpya
 
Back
Top Bottom