Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,720
- 21,779
Wataalam wa hospital
embu tupen sababu za hawa watu kungangania kila mtu kumpitishia wembe tumboni mwao jamani?
hawa watu kila mtu ukienda wakiona unawasumbua kidogo tu dk atakaepita anaandika piga wembe huyo...nikiwa huko wiki iliopita si mnajua mambo ya kuwekwa chumba kimoja vitanda kadhaa tukakuta mwenzetu analalamika wanaenda kumpiga wembe wakati yuko sawa nilipofika nikakuta mumewe analalama hilo.....,ehh majuzi naendanakuta mgonjwa wetu nae wamemuandikia operation mama mzazi akawachomolea...leo mtoto wa kike akiwa na full smile amekuja duniani na FULL SHANGWE sifa kwa bwana so najiuliza wapendwa hivi viwembe ama operation yawezekana kuna wengi mmefanyiwa ama mnatarajiwa kufanyiwa hili wakati aujatakiwa ama kuwa na hali inayotakiwa kufanyiwa operation
kama kuna msemaji wa aghakhan tusaidien jamani...dk shafii kunani huko???