Kwa ninavyomfahamu Maalim Seif, Hamad kaa chonjo!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Jinsi ninavyomfahamu Maalim Seif ni mtu wa visasi kitendo cha kutangaza kumng'oa ukatibu basi vita hiyo Mh Hamad ujiandae kwa vita ya visasi na kwa sasa anadola ni bora ukawa mwangalifu kwani ukae ukijua hata CCM hawatataka atoke kwani kitendo hicho kitakuwa nikuyumbisha amani Zanzibar kwani wana amini kwamba yeye ndiye ameshikilia hiyi amani.Na msaada wowote akiuitaji tika CCM atapewa ili kulinda hii serikali ya mseto.
 
Maalim kashika wadhifa wa katibu mkuu muda mrefu sana kwanini hataki mwingine aonyeshe kipaji chake ???????.
 
Jinsi ninavyomfahamu Maalim Seif ni mtu wa visasi kitendo cha kutangaza kumng'oa ukatibu basi vita hiyo Mh Hamad ujiandae kwa vita ya visasi na kwa sasa anadola ni bora ukawa mwangalifu kwani ukae ukijua hata CCM hawatataka atoke kwani kitendo hicho kitakuwa nikuyumbisha amani Zanzibar kwani wana amini kwamba yeye ndiye ameshikilia hiyi amani.Na msaada wowote akiuitaji tika CCM atapewa ili kulinda hii serikali ya mseto.

THUBUTUUUUUU..........Kwa Komandoo na Blue Guard unadhani ataona ndani huyo madevu.
Subiri muda si mrefu majibu utayaona.na kama humjui Rashid basi ni sasa mkuu.chungulia kwa mbali hii move.
 
Jinsi ninavyomfahamu Maalim Seif ni mtu wa visasi kitendo cha kutangaza kumng'oa ukatibu basi vita hiyo Mh Hamad ujiandae kwa vita ya visasi na kwa sasa anadola ni bora ukawa mwangalifu kwani ukae ukijua hata CCM hawatataka atoke kwani kitendo hicho kitakuwa nikuyumbisha amani Zanzibar kwani wana amini kwamba yeye ndiye ameshikilia hiyi amani.Na msaada wowote akiuitaji tika CCM atapewa ili kulinda hii serikali ya mseto.

na hapo ndipo sasa utaona watu wanachukulia sisa ni kula!!Rashid is perfect!!!!maalim aondoke kama baadhi ya wanachadema tunasema mbowe aondoke!!!
 
seif hawezi kuondoka na kumwita HR sasa zamu yako njoo uchukue, hata kama seif anashikilia nafasi ile kwa mda wote si amechaguliwa katika chaguzi za ndani na hakuna mtu aliejitokeza ku challenge nae ktk chaguzi za ndani. kama anahisi muda umefika alikua afate taratibu zinazohusika. kwa hivi anavyofanya lazima analengo jengine, na watu wa aina hii wamejaa ktk vyama vyetu vya upinzani. juzi TLP jana NCCR leo CUF kesho mwengine. kiongozi mzuri akiona chama chake hakina mwelelekeo wa demokrasia au kinavunja sheria zake wenyewe walizokubaliana basi hujiuzulu tu kuliko kuforce na mimi lazima nipate nafasi ya fulani
 
Waroho wa madaraka utawajua tu! Napita tu bajameni!
I hate such kind of maoni, yaani ww umeona Rashid kusaka hiyo nafasi mroho wa Madaraka na yule nayefang'ang'ania sio mroho wa madaraka. Jirekebishe KOKO, ww sio wa kuwazxa hivyo badilika si maanishi ubadlike uwe nyani hapana, namaanisha kifikra
 
na hapo ndipo sasa utaona watu wanachukulia sisa ni kula!!Rashid is perfect!!!!maalim aondoke kama baadhi ya wanachadema tunasema mbowe aondoke!!!
Huna tofauti na CHANGUDOA,leo kwa mwanaume huyu kesho kwa yule.Shame on you!
 
Naona Hamad Rashid anachezea sharubu za simba, matokeo yake mutayaona kwa kuwa Maalim Seif ni gari kubwa. Namfananisha na Hamad Rashid na gari aina ya Toyota Vitz halafu Maalim na Semi Trella la Scania model 460.
 
Hivi hawa cuf- ngangari hawana katiba?, mtatiro naomba utujuze, nafasi ya katibu na mwenyekiti inaongozwa kwa miaka mingapi?. Kama hawafuati katiba ya chama, tukiwapa nnchi si watakuwa wafalme hao.
 
Back
Top Bottom