Kwa nin wadada huwa hamridhiki?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,044
1,999
Unakuta mwanaume anajitahidi kumjali msichana wake kwa kila hali,kuanzia pesa nk,bt mwisho wa cku unaishia kwa mwanaume kulambwa kibuti kitakatifu..jaman wadada,mtuonee huruma.
 
Hujampata wa kwako atakayekupenda wewe kama wewe na sio ulivyo navyo. Ukimpata yule orijino atakayekupenda wewe kama wewe hatajali unatembea kwa miguu ama unalala nyumba ya mabanzi. Endelea kuomba umpate, usivamie tu matokeo yake unapata hao wanaotafuta pesa na vitu sio penzi la kweli.
 
Unakuta mwanaume anajitahidi kumjali msichana wake kwa kila hali,kuanzia pesa nk,bt mwisho wa cku unaishia kwa mwanaume kulambwa kibuti kitakatifu..jaman wadada,mtuonee huruma.
......na kama kitandani unashika #0 unategemea nini!!?....kibuti ofcourse.
 
Unakuta mwanaume anajitahidi kumjali msichana wake kwa kila hali,kuanzia pesa nk,bt mwisho wa cku unaishia kwa mwanaume kulambwa kibuti kitakatifu..jaman wadada,mtuonee huruma.

Ndio shida ya kutumia pesa kama ngao.
 
Una uhikika gani kwamba kujitahidi kwako kunatosha/ridhisha?

Kuna watu kufuta msg za wapenzi wao wa nje KWAO ni kujali. . .
Kwenda kulala guest na mwanamke/mwanaume mwingine badala ya nyumbani kwake/kwenu ni kujali KWAO.
Kutuma vocha ya buku tano inayofuatiwa na masimango ni kujali KWAO. .

Mwisho wa siku yote yanategemea na huyo anaedaiwa anajaliwa. . . kama kujali kwako kunamtosha/ridhisha basi atatulia,kama hakumtoshi ndio hivyo tena.
 
kuna vitu bado unamiss ingawa unadhani unaridhisha kwa kila kitu...
 
Vipi, uliwahi kupima spidi uliyoanza nayo katika huko kumjali na kugundua ilivyokuwa ikipungua?

Was it a steady speed or otherwise? Huenda hiyo nayo ikawa hoja.
 
Unakuta mwanaume anajitahidi kumjali msichana wake kwa kila hali,kuanzia pesa nk,bt mwisho wa cku unaishia kwa mwanaume kulambwa kibuti kitakatifu..jaman wadada,mtuonee huruma.
Kama hujionei huruma mwenyewe nani akuone? ebu ukika na wanaume wenzio fanya kama vile mnaongea maongezi yakawaida waulize mwanamke anatulizwa na nini? pesa, mapenzi, nyama ya ulimi,au mambo ya chumbani? utapata jibu halafu lifanyie kazi ujue wapi unakosea.
 
Unakuta mwanaume anajitahidi kumjali msichana wake kwa kila hali,kuanzia pesa nk,bt mwisho wa cku unaishia kwa mwanaume kulambwa kibuti kitakatifu..jaman wadada,mtuonee huruma.

Pole sana kwa kibuti. Maisha yaendelee mkuu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom