Kwa nin jakaya kikwete asulubiwe peke yake wakti anakula na wapembe wake?

Yasser5

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
207
17
"Presidence is an is an instuite"
kwa kaelim kangu kadogo nilivyo fundishwa na nilipo changanya na za kwangu kwamba presidence is an instuite japo head wake ni president
msingi wa swali alangu kwa kuwa presidence ni instuite tena inayo jitegemea kwa maana hata descion inatoka kwa mfumo huo lengo nikitaka kusema kikwete anafanya kazi na washauri na nimewahi kusikia washauri wake wengi ni ma pro na walimu kutoka chuo kikuu UDSM na UDOM katika kuingoza nchii na washauri wa uchumi sasa hawa mbna hawanyoshewi vidole kwa kumshauri president vibaya na nikasikia pro Lipumba alikuwa mshauri wa uchumi kipindi cha mh ruksa? Basi na prof ana kila sababu ya kuulizwa kwa nin tanzania ni masikini any way
greater thinkerr hilii limekaaje?
 
unajichanganya jipange upya
 
Sijakuelewa andika tena
 
"Presidence is an is an
instuite"
kwa kaelim kangu kadogo nilivyo fundishwa na nilipo changanya na za
kwangu kwamba presidence is an instuite japo head wake ni president
msingi wa swali alangu kwa kuwa presidence ni instuite tena inayo
jitegemea kwa maana hata descion inatoka kwa mfumo huo lengo nikitaka
kusema kikwete anafanya kazi na washauri na nimewahi kusikia washauri
wake wengi ni ma pro na walimu kutoka chuo kikuu UDSM na UDOM katika
kuingoza nchii na washauri wa uchumi sasa hawa mbna hawanyoshewi vidole
kwa kumshauri president vibaya na nikasikia pro Lipumba alikuwa
mshauri wa uchumi kipindi cha mh ruksa? Basi na prof ana kila sababu ya
kuulizwa kwa nin tanzania ni masikini any way
greater thinkerr hilii limekaaje?

anatakiwa kuchambua anachoshauriwa sio kila analoshauriwa liwe ndilo!..julius kambarage alishasema hatutak rais anaeshauriwa na mkewe ucku halaf akiamka tayar kalifanyia kaz hata kama halifai.umeona eee!
 
Back
Top Bottom