Kwa niaba ya wana Yanga wote....

Anselm

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
1,710
291
....napenda kuchukua nafasi hii kuwakaribisha nyote katika uwanja wa Taifa leo kushuhudia soka ambalo halijawahi kushuhudiwa toka kocha wa zamani wa team ya Taifa Marcio Maximo amalize kipindi chake cha kufundisha soka hapa nchini, katika mchezo ambao Yanga wanatarajia kuanza ligi rasmi.
Nyote mnakaribishwa.
 
Asante.Tupo pamoja,mimi nitakuwepo maeneo ya vip ili nione vizuri kabisa. :amen:
 
....napenda kuchukua nafasi hii kuwakaribisha nyote katika uwanja wa Taifa leo kushuhudia soka ambalo halijawahi kushuhudiwa toka kocha wa zamani wa team ya Taifa Marcio Maximo amalize kipindi chake cha kufundisha soka hapa nchini, katika mchezo ambao Yanga wanatarajia kuanza ligi rasmi.
Nyote mnakaribishwa.

Sasa hivi pumba ndio zimekaa kwenye kilele cha ligi kwenye hizi mechi za mwanzo mwanzoni.
Ligi itakapokuwa inaendelea, taratiibu cream itaanza kupanda kuchukua nafasi yake pale juu!

Ligi zote duniani ziko hivo. EPL kwa mfano Man U huwa wanaanzaga kwa kusuasua lakini mwisho wa msimu top 2.
 
kochaaaaaaaa sasa zile mbwembwe za maandalizi ya league,usajili vp?
 
Sasa hivi pumba ndio zimekaa kwenye kilele cha ligi kwenye hizi mechi za mwanzo mwanzoni.
Ligi itakapokuwa inaendelea, taratiibu cream itaanza kupanda kuchukua nafasi yake pale juu!

Ligi zote duniani ziko hivo. EPL kwa mfano Man U huwa wanaanzaga kwa kusuasua lakini mwisho wa msimu top 2.

Ni kweli.Hasa ukizingatia mechi za majaribio Yanga hawakufungwa hata mechi moja.Ilikuwa ni wazee wakutoa dozi tu...!
 
natrarajia siku si nyingi utapotea hapa jamvini kama ulivopoteleaga jukwaaa la mapenzi na mahusiano

mkuu wangu yahoo lazima ukae maana mtibwa kisha kaa.. na yule adakss ni shabiki wa yanga au mamluki maana anaiombea timu yenu mle tano baada ya kupokea kichapo tokea azam fc..

Hapa mtu apotei hata kidogo..
 
Last edited by a moderator:
....napenda kuchukua nafasi hii kuwakaribisha nyote katika uwanja wa Taifa leo kushuhudia soka ambalo halijawahi kushuhudiwa toka kocha wa zamani wa team ya Taifa Marcio Maximo amalize kipindi chake cha kufundisha soka hapa nchini, katika mchezo ambao Yanga wanatarajia kuanza ligi rasmi.
Nyote mnakaribishwa.

Mkuu nakukubali sana kwa mambo ya Yanga.Saa hizi hutawasikia tena wakimtaja Twite au Kavumbangu.
 
Sio facebook sio kwenye redio walijazana hawa wadanganyika wa rage , leo wamepotea pyuu, chezea yanga wewe
 
Wahenga walisema "siri ya mtungi aijuaye ni kata" hamjiulizi kwanini sikuwakaribisha kule Mbeya au pale Jamhuri Morogoro nikawakaribisha jana Taifa...?
Narudia tena, mwaka huu mtaiongelea sana Yanga hata kama ni kimoyomoyo, sasa ndo imeanza Ligi rasmi na hiyo tarehe 3 October iwadie tu.
 
anslem unamaanisha kuna nn hapo? sasa naanza kukuogopa.....na..na..na..na... simba tutawafunga ngapi?:pound:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom