Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,139
- 12,284
Mke wangu wa ujanani nilimpata huko! Ni katika wilaya inayotoa watoto safi sana kwa matumizi ya nyumbani!
Kuna umuhimu wa kurudi nyumbani! Wanyika wanaiharibu LushotoKwa kweli mkuu nimechoka sasa kukaa "nyika" na umri ndio unaingia jioni. Natamani sana kurudi nakuweka kambi Shambalai na kujikita na biashara ya utalii (ambayo kwa kweli siijui) na nafanya utafiti nifanyeje.
Kumbe bado hizi habari zinaendelea, wakati ule smartphone ukiwa nayo wewe ni kibopa haswaa, matokeo kama haya kuyanasa ilikuwa shida.View attachment 340456View attachment 340457View attachment 340458hizi ni picha za juzi barabara ya Mombo Lushoto kabla ya kufika Soni
Inasemekana Mungu ndio alitaka pawe peponi
Nimewahi kuona comments za namna za pekee lakini hii imeniacha hoi kabisa.
Hahahahahaha lol umenifanya nicheke kwa sauti co ww tu wapo na wengine hata mm nliwaza kama wwDu kweli akili yangu chafu,ngoja nikatubu.nilitegemea kuona picha za wadada wa kisambaa na kizigua
Naomba kukukosoa, Wasambaa ni mchanganyiko wa makabila mengi, wazigua, wakamba, wambugu, wapare, wachaga,Naomba kuweka kumbukumbu sahihi Lushoto kuna Wasambaa wanguu na Wambugu
Wazigua wako Handeni
Nimeongeza kitu hapa hongea sana osieNaomba kukukosoa, Wasambaa ni mchanganyiko wa makabila mengi, wazigua, wakamba, wambugu, wapare, wachaga,
Wabondei ni wasambaa waliotokea milimani baada ya kuvunja mila wakafukuzwa, yaani dada wa kisambaa alizini na kaka yake wa damu toka nitoke wakafukuzwa na wazee wa kimila kwa kuambiwa "HITAI MKABONDEEANE UKO" na ndo source ya kuitwa wabondei
Iwe ng'wenye umshambaa mpare, hahahahaNimeongeza kitu hapa hongea sana osie
Hasa nikimfikiria yule Achimwene pale Mkuzi napata hisia kuwa atatuletea kasumba ya kiburi na roho ya uchoyo kama tutaruhusu Vijana wetu wajifunze toka kwake.Kuna umuhimu wa kurudi nyumbani! Wanyika wanaiharibu Lushoto
mimi nilisoma tosamaganga iringa, naijua kitonga sana, huwezi hata kidogo kuilinganisha na barabara inayotokea mombo kwenda soni, km huamini fanya safari moja ndo utajionea mwenyewe.
Inasemekana Mungu ndio alitaka pawe peponi
Wadigo tunapatikana Tanga mjini na MkingaMuheza na Tanga mjini kwa wadigo