Imany John JF-Expert Member Jul 30, 2011 2,930 1,165 Aug 8, 2011 #21 hahahaha Watu hawachelewi kusema USIOE MWANAMKE WA KIZUNGU. Mana wakurya tumeshambiwa hawafai.
FiQ JF-Expert Member Feb 11, 2011 477 76 Aug 8, 2011 #22 Sasa hapo si bora ukalale ukumbini tu, kuna hajagani ya kulala nae,
doup JF-Expert Member Feb 26, 2009 2,344 2,150 Aug 8, 2011 #23 Hizo zana za kujikinga na wanaume wanaowabaka wake zao, wizara husika ingeziagiza kwa wingi, na kuzigawa bureee!
Hizo zana za kujikinga na wanaume wanaowabaka wake zao, wizara husika ingeziagiza kwa wingi, na kuzigawa bureee!
data JF-Expert Member Apr 9, 2011 26,138 22,709 Aug 8, 2011 #24 kazi ipo hapo... wamekula kiapo kuvumiliana ktk shida na raha......
tama JF-Expert Member Dec 15, 2010 602 71 Aug 8, 2011 #25 Ndoa hiyo ni kiboko,ila jamani hizi kuta za pembe nne zina mambo ukichunguza ndani zikoje ni balaa