Kwa ndoa hii, ni heri ya kutooa kabisa

Kaduguda

JF-Expert Member
Aug 1, 2008
724
641
NDOA NDOANA.jpg

Kama ndoa yako imefikia hatua hii basi ni heri kurudi kwa Kasisi kurekebisha mambo!

Teh teh teh teh
Kazi kweli kweli...

Mimi na wewe milele mpaka kifo .......

attachment.php

sina uhakika kama kasisi najwabu hapo......................kwa sababu hata yeye hajawahi kukutana na hizi suluba............jibu ni kumwomba Muumba ili awajaalie neema ya misuguano yote itayeyuka.......................what is not possible to humans it is possible to the Lords of the Lords

mngejua????

huo wanaofanya ni uendawazimu tu na ni wa mpito. siku wakijua kuwa huo ni wehu, hiyo ndoa hugeuka tamu na stable ever! la kuwaombea hao ni uvumilivu tu. maadam bado hawajatengana vyumba, wasiachane hadi watakapojua kuwa hayo wanayofanya ni wehu mtupu, halafu from that point, the couple will have joy and hot romance for the rest of their lives! even death will not do them part!

Glory to God!

QUOTE=Rutashubanyuma;2328823]

sina uhakika kama kasisi najwabu hapo......................kwa sababu hata yeye hajawahi kukutana na hizi suluba............jibu ni kumwomba Muumba ili awajaalie neema ya misuguano yote itayeyuka.......................what is not possible to humans it is possible to the Lords of the Lords[/QUOTE]

Ruta nakubaliana na wewe. Suala ni kumuomba tuu Muumba hapo na hiyo misuguano itayeyuka. Hakuna litakaloshindikana maana kwenye maisha ya wawili kama hao misuguano haitakosekana

couple hiyo kwa nje inaweza kuwa inaonekana ipo stable kumbe kwa ndani ndio kama hivyo.

mngejua????

huo wanaofanya ni uendawazimu tu na ni wa mpito. siku wakijua kuwa huo ni wehu, hiyo ndoa hugeuka tamu na stable ever! la kuwaombea hao ni uvumilivu tu. maadam bado hawajatengana vyumba, wasiachane hadi watakapojua kuwa hayo wanayofanya ni wehu mtupu, halafu from that point, the couple will have joy and hot romance for the rest of their lives! even death will not do them part!

Glory to God!

I don't think so dada!Things will get much worse!!

wanaume bana! u ar really quiters,huh! hapo unam-sweet talk hiyo miiba anaivua mwenyewe huku pumzi zinamuishia! hebu acheni uvivu, ndo maana mahouseboy wanawasaidia! (msinitupie mawe plz)
Duh hiyo sio ndoa tena. Bora mwanaume ujiendee ukatafute mapoozeo tuu

mngejua????

huo wanaofanya ni uendawazimu tu na ni wa mpito. siku wakijua kuwa huo ni wehu, hiyo ndoa hugeuka tamu na stable ever! la kuwaombea hao ni uvumilivu tu. maadam bado hawajatengana vyumba, wasiachane hadi watakapojua kuwa hayo wanayofanya ni wehu mtupu, halafu from that point, the couple will have joy and hot romance for the rest of their lives! even death will not do them part!

Glory to God!

So true Judith....
Kuna kitu inaitwa 7 yr itch... wanandoa hupitia phases nyingi kwenye maisha yao.
Wakiweza kuvuka vigingi hivi...maisha huwa matamu sana asikuambie mtu.

So true Judith....
Kuna kitu inaitwa 7 yr itch... wanandoa hupitia phases nyingi kwenye maisha yao.
Wakiweza kuvuka vigingi hivi...maisha huwa matamu sana asikuambie mtu.

dada WOS,

yale niliyaandika kwa sababu nina ushuhuda wa kaka mmoja aliyekuwa akigombana sana na mkewe miaka mitatu ya mwanzo ya ndoa yao, ikafikia mahali akamfukuza nyumbani mkewe, mke akafunga virago na shida ikaja mtoto wao aende wapi, mama anamtaka, baba anasema mtoto haondolo! Mungu alivyo wa ajabu wakakubaliana waendelee kuishi nyumba moja ili mtoto wao aendelee kulelewa na wazazi wote! ndipo neema ilipowafungukia na kugundua yote waliyokuwa wakigombania kila siku ilikuwa ujinga mtupu, sasa hivi wanatembea wameshikana mikono njia nzima, hata nguo wanashona zinazofanana utadhani mapacha!

Glory to God!

Similar Discussions

Back
Top Bottom