kwa mwenye mpenzi,mume au mke, huwa unapenda ufanyiwe nini?

wana JF unajua raha ya mapenzi mtu akufanyie kile unachokipenda na wewe umfanyie anachokipenda vilevile,hebu tuambizane huwa unapenda mpenzi wako akufanyie nini mnapokua pamoja? mimi huwa napenda anikumbatie frequently bila kubanduka wewe je?
mi mchaga,mali zote
 
asipende kukagua simu zangu.
 
Napenda anitukane matusi ya nguoni wakati wa kutimiza sheria ya ndoa
wana jf unajua raha ya mapenzi mtu akufanyie kile unachokipenda na wewe umfanyie anachokipenda vilevile,hebu tuambizane huwa unapenda mpenzi wako akufanyie nini mnapokua pamoja? Mimi huwa napenda anikumbatie frequently bila kubanduka wewe je?
 
napenda nipigwe makonz ya nguvu huwa najiskia rrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrraaaaaaaaaaaaaaaha saaaaaaaaana!
rr wap baba ......teamo kuja bas rrryupo mbali........!!!!!
 
Back
Top Bottom