Kwa mwenendo huu sina budi kuhitimisha kuwa Kikwete ni RAHISI siyo RAIS

madhara ya kunywa mbege kupita kiasi. angalia usiende kumfanyia fujo mwenzio ukifika nyumbani.

Nimeamini bangi zinaharibu vichwa vya watu.Achana nao waendelee kukaa vijiweni wagivuta bangi wakidhan maisha bora yatawashukia kama mvua kutoka mbinguni.Mimi sijaajiriwa nipo kitaa napiga mzigo naamini maisha bora yanatafutwa kwa ku-strive hard sio kulalamika na kutukana watu.
 
Upo kitaa unapigwa mzigo eeh. Nimekusoma nasikia mnataka andamana akija prince ni kweli?
 
Back
Top Bottom