Kwa mwenendo huu, kumbe nia yangu ya kuwa Mbunge au Rais wa nchi ya Tz yaweza timia!

Visionmark

Senior Member
Nov 24, 2011
158
28
Nimejifunza mengi sana kpitia hizi chaguzi ndogo (Arumeru mashariki, Kirumba n.k.), lkn cha msingi & muhimu zaidi ni kwamba hata mimi sasa naweza simama na kugombea nafasi ya ubunge au urais wa hii nchi manake hv sasa: (i) Sitalazimika jina langu liishie na ..Nnauye, Lowassa, Nchimbi, Mkapa, au Karume n.k. (ii) Sitalazimika niwe nimetoka familia tajiri au familia ya 'Kada' (iii) Sitalazimika kuwa na lundo la hela isipokuwa sera zinazotekelezeka na sio porojo wala matusi!
 
Magamba wameshikwa penyewe safari hii,asubh hii watapuktika arumerù
 
Walikua wananiudhi wakisema 'niwalambe, nisiwalambe,....Walambeee' ilikua inaniudhi hii kauli. Basi tu.
 
Nimejifunza mengi sana kpitia hizi chaguzi dogo (Arumeru mashariki, Kirumba n.k.), lkn cha msingi & muhimu zaidi ni kwamba hata mimi sasa naweza simama na kugombea nafasi ya ubunge au urais wa hii nchi manake hv sasa: (i) Sitalazimika jina langu liishie na ..Nnauye, Lowassa, Nchimbi, Mkapa, au Karume n.k. (ii) Sitalazimika niwe nimetoka familia tajiri au familia ya 'Kada' (iii) Sitalazimika kuwa na lundo la hela isipokuwa sera zinazotekelezeka na sio porojo wala matusi!

Huna jipya wewe! Napita tu
 
Ndoto yako itatimia kwa kuwa wewe ni mwanachama wa CHAMA KISICHOKUWA NA MIZENGWE NA CHENYE UONGOZI THABITI!! Chama chochote chenye upendeleo, kupenda rushwa na ubinafsi [ UKWEREE] hakiwezi kuwapa nafasi watoto wa maskini kuongoza.
 
inakuuuuuuuuma!
Pole sana tafuta maji barid kunywa,Harafu sema kajimbo kenyewe kadogo haka waache wachukhe

Kudadadeki mimi na kina lusinde ni zaidi ya maji na mafuta. Nguvu ya umma always itashinda!
 
Ndoto yako itatimia kwa kuwa wewe ni mwanachama wa CHAMA KISICHOKUWA NA MIZENGWE NA CHENYE UONGOZI THABITI!! Chama chochote chenye upendeleo, kupenda rushwa na ubinafsi [ UKWEREE] hakiwezi kuwapa nafasi watoto wa maskini kuongoza.

hata aliyeshnda kiwira mbeya, ni mtoto wa maskini na hata chuo hajamaliza.
 
Huna jipya wewe! Napita tu

Ha ha ha ha hah, vp mkuu wewe ni miongoni mwa watu wanaoamini au waliokuwa wakiamini hivyo nini?! Usijali lkn manake tusiruhusu hizi tofauti zetu za kimawazo na kifikira zitufanye tushindwe kutumia rasilimali za nchi yetu kwa usawa, uwazi na haki!
 
Ndoto yako itatimia kwa kuwa wewe ni mwanachama wa CHAMA KISICHOKUWA NA MIZENGWE NA CHENYE UONGOZI THABITI!! Chama chochote chenye upendeleo, kupenda rushwa na ubinafsi [ UKWEREE] hakiwezi kuwapa nafasi watoto wa maskini kuongoza.

Ni kweli kabisa mkuu, tuko pamoja!
 
Nimejifunza mengi sana kpitia hizi chaguzi ndogo (Arumeru mashariki, Kirumba n.k.), lkn cha msingi & muhimu zaidi ni kwamba hata mimi sasa naweza simama na kugombea nafasi ya ubunge au urais wa hii nchi manake hv sasa: (i) Sitalazimika jina langu liishie na ..Nnauye, Lowassa, Nchimbi, Mkapa, au Karume n.k. (ii) Sitalazimika niwe nimetoka familia tajiri au familia ya 'Kada' (iii) Sitalazimika kuwa na lundo la hela isipokuwa sera zinazotekelezeka na sio porojo wala matusi!

bali kina SLAA na MBOWE watalazimika kupiga kambi kwenu mpaka uchaguzi uishe maana bila wao hakuna watu mikutanoni
 
Back
Top Bottom