Kwa mwendo huu yanga tutafika?

Elly mwakipesil

New Member
Jan 24, 2011
1
0
Nimefuatilia kwa karibu sana mechi zote za yanga kwanzia makundi hadi leo hii 1/4 finali.nilichogundua yanga bado haichezi kitimu pia ninapata wasiwasi na Timbe kwanini anapenda kutumia wachezaji wapya wengi ambao hadi leo bado hawajaelewana Tegete,Mbuna,Geofrey na wengine wengi wapewe nafasi tuone sio kulazimisha akina Mrope,Asamoah wakati kiukweli viwango vyao kwa mechi hizi nne hawajaonesha viwango tofauti na magazeti yalivyo kuwa yakiwaripoti wakati wa usajili.
 
Kimungu mungu hivyo hivyo si unajua mpira wetu wa kibongo, maneno meeengi kiwango kiduchu hahahahaha
 
Yanga ndio timu ya magazetini unajua leo.....Juzi walikuwa wakijisifia wamefanya usajili wa karne.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom