Wewe ujui kinacho endelea ndugu yangu lowasa ameshakata tamaa yakuja kuwa raisi wa nchi hii na usijidanganye kabisa eti lowasa anaweza kuja kuwa raisi wa nchi hii amesha ambiwa aachane na siasa za makkanisani ataki na hii nchi aichangamani na maswala ya kidini yeye asubili muda ukifika akapumzike hii nchi inakwenda chadema kubali kataa ndivyo itakavyo kuwasimple angalia style ya utendaji wa serikali ya sasa...angalia mwenendo wa waliokua wapambanaji ccm...,angalia lowassa strategies anazoinuka nazo ...,angalia responce ya utawala kwa strategies anazoinuka nazo lowassa..angalia sifa na opportunities wanazopewa wapinzani..na angalia vijana wanao wekwa front na media kuwa ndio wazalendo nchi hii na mwenye mvuto kwa jamii ya vijana tanzania then anagalia baraza la mawaziri..na kisha fikiria kama great thinker...utakubaliana na mie.