Kwa mwanamke anayejielewa

WEWE NDO UNAETAFUTA?
mie ndio nilie-mpa wazo aje kutafuta huku gulioni...sema point ya kuzaa lazima amesahau kuiweka....na nyingine aliyosahau kuiweka ni kuwa "ukishaolewa tuu...JF HAIKUHUSU.....unakuwa mke swafi wa ndoa na kuheshimu ndoa yako na kuwa na busara za kutosha kulea familia....sio kila siku umbea wa jf unao wewe utadhan ndio mmiliki wake ndg. maxence mello
 
ahahaa mbona unanichamba mkuu? wengine hatupo fb ,whatsup wala wapi ndo maana unatuona huku sana ila kweli nikiolewa na huyu jamaa wako nitashika adabu .nipigie debe basi best man
 
Dah Kumbe tupo wengi wenye nia!!
Kama upo tayari njoo tujenge family .

Nahitaji mwanamke atakaye kuja kuwa mke,

Uwe Na miaka 28-32 uwe free unayejitegemea,

Kama Una mtoto si mbaya ila usiwe Na mawasiliano Na mzazi mwenzako tutakapokuwa pamoja Kama Ni mtoto nitalea,

Mimi Ni baba wa watoto wawili ila wapo nje ya nchi Na mama yao upweke umenizidi.

Kwa kufahamiana zaidi pm
Umri wangu Ni (36)
 
ahahaa mbona unanichamba mkuu? wengine hatupo fb ,whatsup wala wapi ndo maana unatuona huku sana ila kweli nikiolewa na huyu jamaa wako nitashika adabu .nipigie debe basi best man
USIJALI...INGIA PM KWAKE MUKAYAPANGE KITACHOSHINDIKANA NIJUZE NIKUWEKEE NGAZI UPANDE JUU ZAIDI MPAKA UFIKE BEI....
 
Wanawake kuweni makini kuna watu kama huyu (Si lazima awe yeye exactly) wenyeji humu wameshasumbua sana wanawake, wana fake IDs kibao kujidai wako nje ya nchi kuwavutia... angalieni mtaliwa...
 
Aliye nje ya nchi nani? Mbona ba**cha huwa hamna utulivu kabisa?
 
Wanawake kuweni makini kuna watu kama huyu (Si lazima awe yeye exactly) wenyeji humu wameshasumbua sana wanawake, wana fake IDs kibao kujidai wako nje ya nchi kuwavutia... angalieni mtaliwa...

Kwani wakiliwa wewe inakuuma nini?

Acha wivu kwa jamaa.
 
mie ndio nilie-mpa wazo aje kutafuta huku gulioni...sema point ya kuzaa lazima amesahau kuiweka....na nyingine aliyosahau kuiweka ni kuwa "ukishaolewa tuu...JF HAIKUHUSU.....unakuwa mke swafi wa ndoa na kuheshimu ndoa yako na kuwa na busara za kutosha kulea familia....sio kila siku umbea wa jf unao wewe utadhan ndio mmiliki wake ndg. maxence mello
jf tunainjoy umbea
 
Watoto na mama yao wakirudi je kutoka huko nje ya nchi?? Kama hakuna mawasiliano na baba mtoto hii kweli inawezekana?? Mtoto hatomwona baba yake?? Am just thinking out of the box..
All in all best of luck
 
Mbona unaunguza picha mkuu
Tuliagizwa tuishi nanyie kwa akili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom