kwa mwamke,kumsaidia mpezi wako malipo ya gesti ni sawa?

wanawake wengi,hawajiamini na isitoshe ukilipia gesti,mwanaume lazima atajiuliza mara 2 kwa sababu si kawaida
 
gesti uwa tunaenda kuchinjana sio kuchinjwa ww vp mgeni kwenye mapenzi nn?

Na kwa kawaida mwanamme ndo huliwa kwa sababu yeye humezwa, ingawa mara nyingi tunaongea kinyume.
kama mwanamke yuko willing kulipia hiyo starehe ubaya uko wapi?
 
men, if you are not careful, hata kwenye familia zenu mtajifanya vidume na kukataa misaada ywa wake zenu kwenye kutunza familia and if you are not careful mkeo atasaidia ndugu zake na mwisho wake utasikia amejenga nyumba kwako, roho ikutoke!

Wanaume acheni hizo prestige zisizo na maana, emtu anapata mwanamke wa kukusaidia, unajifanya kidume na unazo! Sharing costs does not downgrade your manhood, ebooo!

Wewe wa wapi? Kwani mwanamke akijenga kwao dhambi? Cha muhimu akupe taarifa tu. Mbona nyinyi mnawajengea mpaka mahawara zenu tena kimya kimya? Home unatangaza ukata tu kila siku mpaka wife anahofu labda umefukuzwa kazi unashindwa kumwambia kumbe wapi,uko kwenye ujenzi.
 
binafsi sioni hata tatizo kwa mwanamke kuingia gharama kwa ajili ya kukidhi haja ya mapenzi yake na mpenziwe. inategemea labda na aina ya uhusiano mlio nao... mimi ninachojua ni kuwa mpenzi wangu ni sehemu yangu kwa kuwa tunashare mambo mengi tu mazuri ya kutia raha na hata inapokuja suala la uchungu/msiba/ugonjwa n.k. hivyo kama tumefikia hali ya kuhitajiana kimapenzi basi yoyote kati yetu anaweza kugharamia alimradi tu mwisho wa siku wote mnaridhishana. na pale hakuna mchinja wala mchinjwaji ni mtu na mpenzi wake mnaenda kuburudisha mioyo na nafsi zenu kupitia kufanya ngono!!!:tonguez:
 
mi huwa nafurah sana demu wangu akilipia malipo ya hoteli au gest, tena naona ni kama jukumu lake zaid kuliko langu..
 
hapana sio sawa, inakua kama vile analipia kisu kitakachomchinja. Hii stori inanikumbusha safari ya yesu galilaya, jamaa alikwenda 100% akijua itakula kwake. So kinadada msikubali kulipia guest fungu toka mikobani mwenu!


Dah!Labda sijakusoma fresh mkuu ....Hivi nini maana ya uhusiano?
Kwani tendo husika lina maslahi au ni muhimu kwa upande mmoja tu?
Natamani kusema bado nina mashaka na uelewa wako kwenye swala la mahusiano ya kimwili.

Nyote ni binaadamu mnauhitaji na hisia sawa na c vibaya kwa yeyote kugharamia mahitaji kwa shughuri husika ikiwa mmoja hayupo vema kiuchumi kwa wakati husika......nini kulipia chumba hata ndom ikibidi sio vibaya akiinunua.

Nitaungana na wewe ikiwa demu yupo kimaslahi zaidi mkuu otherwise haina mbaya.
 
nionavyo mimi hakuna ubaya wowote kwa mwanamke kusimamia show...(kulipia gesti) hiyo ndo sharing cost afu sio mda wote mwanamume unakua na hela ya lodge bana.
 
kwasababu wanaume wengi hawapendi kuwa chini cku ikitokea wametoka then ghafla mkajickia kusex then biti akamwabia mpz wake twende mm nitalipa mwanaume atamwambia hapana ckunyingine,kwann ipo ivyo bt kama mvulana akimwambia mpz wake waonane then akajibiwa awez anadhalula atamwambia ushakutana na mwanaume mingine ndio mana utaki,kwann iwe lawama kwa mabinti?

Lawama kwa wote ndo maana kila mtu humlalamikia mwenzie logic iko hivi hakuna anayekubali kuwa kakosea hapo ndo tatizo huwa kubwa. NA suala la gharama katika mapenzi ni kutokana na imani au utamadun wamtu mwenyewe but alipe mwanaume mwanamke yote shega kwani mapenzi biashara?
 
kwan kunatatzo gan mana wote wawili mnakwenda kula gudtime hvyo hakuna tatzo ni sawa na yeye kutoa pesa kwan kunatatzo kwa upande wangu mm ni sawa
 
Mimi nilitegemea member wa humu JF "the home of GREAT THINKERS" atakuwa ni mtu wa kwenda hotelini na siyo "gesti"
 
Inafurahisha demu anapolipa cku moja moja it shows commitment kwa kile mnachoenda kufanya.muundo wa dunia cku hizi ni cost sharing
 
Back
Top Bottom