Kwa muonekano na kwa undani wako adc siyo afya kwa siasa za tanzania

Laptop01

JF-Expert Member
Nov 29, 2009
1,365
796
I stand to corrected where I shall be missing the point,

Hv hiki Chama kipya cha Siasa kinachoitwa ADC kinaanzishwa kwa akili kweli yenye kuhitaji mageuzi ya dhati?

Sina kadi ya chama chochote cha siasa ila ninamshikamano na sera za vyama vya siasa. Sera zenye lengo la demokrasia na ukombozi wa mtanzania kielimu, kiuchumi, kisiasa nk.

lnanishangaza kuona ADC ikianzishwa kimuonekano wa rangi zake kama kibaraka wa kisiasa anaezaliwa kwa lengo la kupambana na vyama vingine vya siasa mathalani CHADEMA.

Leo nimeona nianze na muonekano kwa maana ya rangi za bendera ya ADC ambazo ni za kufanana kabisa na CHADEMA. Naona kama ni mbinu kwa ajili ya kughiribu wananchi wakati wa kupiga kura. Kwa maana ya mkakati wa kuwafanya Wanapiga mura wapate utata ktk kutk kutofautisha kura kwa ADC na CHADEMA.

Mawazo zaidi tafadhali
 
Back
Top Bottom