Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mtindo huu watalia wengi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nsaji Mpoki, May 29, 2012.

 1. N

  Nsaji Mpoki JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 396
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  KUNA NINI TANZANIA?


  Kila mtu analia. Hivi tutaendelea kulia hadi lini?


   

  Attached Files:

 2. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hiyo inaitwa hisia na hisia haina mbabe.
   
 3. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 595
  Trophy Points: 280
  analialia tu lakini hachukui maamuzi ya kuprove kilio chake!
   
 4. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,879
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kama unalia na bado unang'ang'ania kuwa ccm ni unafiki wa hali ya juu.
   
 5. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 5,982
  Likes Received: 2,446
  Trophy Points: 280
  muig.jpg on this look
   
 6. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 931
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Unaona sasa wajali matumbo...huyo mjinga hapo pembeni anamlilia Maige kivipi yani simwelewi. Wajinga bado wamejaa Tanzania
   
 7. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 4,568
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Yapo makabila mengine mpaka uyaamshe kule yamelaa ni bora ufuge mbuzi utamfaidi siku moja
   
 8. Sibonike

  Sibonike JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 7,883
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  Asilie kwa nini? Anajua sasa ulaji umeisha!
   
 9. PENDING'ULA

  PENDING'ULA JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu ni miongoni mwa wale waliokuwa wakiishi kwa mfuko wa Maige, yuko pamoja na mke wake pale kulia pembeni kabisa. Maige amekuwa akiwatunza wakati alipokuwa "AKIPIGA" Maliasili na Utalii. Anasononeka ataishije baada ya kitumbua kuingia mchanga?
   
 10. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 815
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ukiwa chicha, hisia zinakuwa kali kweli hadi chozi

  Ng'ang'ania sisiem uendelee kulia mpaka mwisho wa life yako
   
 11. Babuu Rogger

  Babuu Rogger JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 663
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Jamani analia hajui atapata wapi buku mbili alizokuwa akifukuzia kila asubuhi mlangoni kwa x-minister:A S cry:.
   
 12. Waberoya

  Waberoya JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 8,486
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 280
  huyu CCM, walizi kama huyu wengi wako pia chadema!! kazi ipo kizazi chetu hiki
   
 13. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,174
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Du, kaz kweli kweli, jamaa anaamua kuwadhalilisha wanaume! Huyu jamaa hata akili ikifunguka cjui kama CDM watampokea! Ila ni kawaida ya wanaccm kulia hata mzee mzima Pinda aliwai kulia mbele ya hadhara!
   
 14. T

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,647
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Wazazi , wanafunzi Arusha wamlilia Lema
  "Eti aliwaahidi akishinda angewapa mitaji chakula malazi n.k (rushwa) "

  sosi: mwananchi
   
 15. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwa nini asilie wakati nyinyiemu iko I.C.U. , we huoni tatizo? RIP - NYINYIEMU!!!!!!!
   
Loading...