Kwa mtindo huu Wananchi Jimbo la Mbinga Magharibi Wamefulia

Kwa mtindo huu, wananchi wwamefulia...full kulala
Ana kazi maalum ya kuhamasisha wajumbe wa NEC esp. wakati wa kuchagua viongozi , nadhani hata kwenye vikao vya wabunge wa sisiem lazima huwa ana paly hiyo role ya kuwaimbisha ili wachemke na kukitumikia chama vizuri.
 
jamaa yuko kazini hap; kwani wewe hujui kazi inayofanywa na wabunge wa ccm? Kulala na kuzomea tu

attachment.php

kirusi iko fwaten moto mule asali
njooni mbwen mumjue vizuri anavyowasha moto na wanafunzi wake
 

Komba ndiyo zake hizo.

Nakumbuka mwaka 2009, Oct kulikuwa na Public Hearing ya Law of the Child Act 2009 kwa siku mbili pale Karimjee Hall. Yeye, kwa capacity yake kama Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii aliidhuria.

Alikuwa na sifa mbili; anakuja amechelewa, alafu akisha kaa inamchukua kama dakika 7 kabla ya kuanza kulala usingizi mzito. He didnt wake up, unless kuwe na kelele zisizo za kawaida..... What a useless MP.....
 
Akiibuka hapo, bila kujua kinachojadiliwa anagonga meza na kuzomea akikuta mbunge wa CDM anatoa hoja. Tehehee tehehe tehe tehe John Nguruwe.
 
Kwa mtindo huu, wananchi wwamefulia...full kulala

Msimwonee bana, huyu si ameshamaliza kazi yake ile 'tienitieni kwa moyo mmoja' tangu 31-oct-2010? Kwani muda wa kazi ukiisha ni 'dhambi' kujichanganya kinamna hiyoooo!???
 
Haya vijana, endeleeni kutoa vijembe tu. Amin nawaambia mkifikia umri huo, msishangae kujikuta "mnapotezea" kinamna namna kwa vinukta na vidakika kadhaa hata katika vikao vya harusi za wajukuu. :biggrin1:
 
Hapo anaota nyama choma tu. Ila akisikia zomeazomea dhidi ya cdm lazima ataamka na kujiunga na wanasisiem wenzie. Hongera wananchi wa mbinga kwa kupata mbunge makini namna hiyo.
 
Ipo siku Mh. Spika atakuja kumaliza kikao cha Bunge halafu huyu jamaa wamwache humo humo mjengoni. Akija kustuka utasikia naunga mkono hoja!! Kubwa Jinga hilooooo!!!!!!
 
Jamaa yuko kazini hap; kwani wewe hujui kazi inayofanywa na wabunge wa CCM? KULALA na KUZOMEA tu

attachment.php

Ukitaka kuona yuko pamoja na wenzie.... itokee ishu ya kuzomea CHADEMA uone atakavyoamka na KUPIGA HIYO meza hapo utafikiri anajua kinachoendela
 
attachment.php


Aaaaaahaa Nimekumbuka!! Mkwere aliwahi kusema kuwa Wabunge huwa hawasinzii ukiona amelala ujue anatafakari!! Mh. sana hapa anatafakari! Tulizomee hiloooooooo!!!
 
Jamaa yuko kazini hap; kwani wewe hujui kazi inayofanywa na wabunge wa CCM? KULALA na KUZOMEA tu

attachment.php

Ningekuwa mtu wa Mbinga ningeitengenezea bango kuuuuubwa, halafu linawekwa town centre.
 
Ipo siku Mh. Spika atakuja kumaliza kikao cha Bunge halafu huyu jamaa wamwache humo humo mjengoni. Akija kustuka utasikia naunga mkono hoja!! Kubwa Jinga hilooooo!!!!!!

hawa wanaweza kuuza nchi bila kujua.
 
Back
Top Bottom