Kwa mtindo huu UKIMWI hautakwisha!

Soma my first post wala hata swala la UKIMWI sitamgusia hata kidogo na wala sina huo unyanyapaa kabisa

Ulimpa jibu zuri na yeye akajiona mwenye faraja? Au ulimpa jibu ambalo lilimpa matumaini ya kuendeleza kukutongoza?

Jaman kuwa na ukimwi hakukuzuii kumpenda mtu wala kutembea na mtu ambaye hana ukimwi ila ni jinsi gan mwenye ukimwi anajikinga na kuchukua taadhari ya kutosha kuto ambukiza wengine. Hapo kwa watu wengine wenye ukimwi ambao hawaja jitangaza wataona impact ya kujitangaza kama una VVU Kumbe watu hawawezi kukukubali ivo watajificha. Huyo mbaba unahaki ya kumkataa kwanza una ndoa yako na yeye anajua ivo kama anakupenda kwel kwa wewe kuwa umeolewa hakubali kuwa kachelewa.

TF yaani hilo nalijua na ninajua maswala haya ya UKIMWI for almost 9yrs nafanya na hili shirika.

Najua anaweza kuoa na kuzaa na hata mtoto anaweza kuwa negative akilindwa na mama kuhudhuria KLINIK PMTCT.

But my question is huyu si kwamba ananitaka anioe?? Na hili limetokea baada ya mkewe kufariki na sisi tuligharamia maizshi yake kila kitu hata mimi nilihudhuria. Iweje?? Mimi ananitaka wa nini sasa sababu nina mume wala sihitaji mwanaume mwingine?? Hapo ndo pananipa utata
DA, kama unakubali aliyoyasema TF, kwamba hata mwenye HIV anaweza kuoa na kuzaa watoto, basi maelezo yako yangejita zaidi kwenye kumshangaa kwa nini anakutaka wakati akijua una mume badala ya kujikita kwenye status yake ya HIV. Kwa wewe kufanya hivyo imeonesha ni kama unamnyanyapaa. Ni kana kwamba unataka kusema: "Niende wapi na mwenye HIV/Ukimwi". Kwa hiyo suala hapa siyo HIV bali ni kwamba wewe una mume na yeye anajua. Hana sababu ya kukutaka uhusiano. Lakini anaweza kutafuta wengine walio huru kuooa. Cha maana awe wazi na hali yake ya afya.

Msinishambulie sana kwamba namnyanyapaa la hasha hata kidogo.......................

Nimefanya nae kazi kwa ukaribu na kumsaidia sana katika mambo mengi ya kikazi, lakini......................

Nimemshangaa sana jana kunipigia simu na kuniambia ananipenda wakati ana jua fika kuwa nina mume na watoto.....................

Kunitaka sikatai ni hali ya wanaume kumtamani/sijui kumpenda mwanamke......................

Najiuliza anataka kuniweka katika group lake la PLHA au shida yake nini hasa??

Ni mmoja wa chair wa chama cha hawa wenzetu PLHA..................

Na sisi ni moja ya shirika ambalo linawapa msaada mkubwa na support yao yote inatoka kwetu.....................

Nimekosa jibu nakubaki nimeshangaa............................................

Najiuliza je ni kwa sababu mkewe kafariki??

Au nini hasa???

Nilijikuta nataka/natamani kumtukana lakini namuheshimu maana ni sawa na Baba yangu kabisa..................................

Najiuliza kama anaweza kunitongoza mimi ambaye namjua kuwa anaishi na VVU je kwa wasichana wengine wasomjua???...................

Kweli UKIMWI hautakwisha TZ kwa mtindo huu........................................

Wajameni tuwe makini sana......................

Cheers

DA

pole dear.some people are evil.we need 2 b careful espeally as ladies.

Hapo ndipo unaposhangaa watu wengine wanawazaje au wanawaza kwa kutumia nini. Huyo anataka kukuharibia tu ili aboost ego yake. Mwambie ukweli na mwambie jinsi gani amekunyima raha. Wala usimtukane ila ongea nae kistaarabu mpaka yeye mwenyewe ajione mjinga tena asiye na huruma na binadamu wenzie. Huwezi jua waweza kuponya maisha ya wadada wengine ambao wengekuwa victim huko mbeleni.

Huyu Dena anambania jamaa....hajui kama samaki akitoka baharini huja nchi kavu!!!

Ha ha ha ha una mambo kaka...................hilo kwangu haliwezekani aisee hata uniwekee AK 47 bora nife tu kwa hilo hapana aisee

Back
Top Bottom