Kwa mtindo huu " Small House " lazima.

Digaller

JF-Expert Member
Oct 20, 2009
745
427
Stephen(1).jpg bi+salma+kikwete+1.jpg anna makinda1.JPG komba1.jpg View attachment 25314 Anna Makinda.jpg mdau Stephen wasira.JPG jksalma.jpg Komba.jpg 200px-Lucy_Kibaki.jpg

my take: Mazoezi ni kitu muhimu sana kwa afya yako na kwa body
structure ya kuvutia.
 
Piga picha una mke kama Lucy Kibaki........hhahaha lazima urudi nyumbani saa saba usiku na kwenda kazini saa kumi na moja alfajiri, Hii kitu ndo inayomfanya Mr President kusafiri kila day. LOL
 
wachokozi nyie kamuoa ina maana karidhika nae acheni kutafuta visababu visivo na msingi uzuri wa mtu upo kwenye macho ya aliyenacho.
 
Ni kweli mkuu ila kumbuka kuwa HB na kuwa na body structure safi kuna wavutia watu wengi na hata hao ambao wameoa au kuolewa ndo maana wanatoka nje ya ndoa kutokana na vitu kama hivi.
 
sema ni nzuri kwa afya yako, kutoka nje isiwe sababu waeza kuta mtu anavutia kwa kila kitu lakini mwenzie bado anahangaika
 
Mzuri na mbaya inachangia mmoja kua mnyenyekevu sana sometymz!Wako watu wanaotumia uzuri wao kuwacontroll wenzi wao!
 
Mzuri na mbaya inachangia mmoja kua mnyenyekevu sana sometymz!Wako watu wanaotumia uzuri wao kuwacontroll wenzi wao!

Mmmmmmhh Yupi anakufaa kati ya hao Lizzy? Wisira au Komba?
 
Mmmmmmhh Yupi anakufaa kati ya hao Lizzy? Wisira au Komba?


kikubwa ni chemist? kama wasira na mamaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhh kwa raha zao na wametoa watoto wa ukwel kwa watu waliosoma pale mzumbe watakua mashahid coz hawa jamaa ye na wife walipiga mzigo pale
 
wenyewe wamependana tangu enzi hizo na wako pamoja,thats all matter
 
Jamani cha muhimu engine iwe nzima na yenye mlio mzuri ukiingiza funguo na kupiga start. Body huwa zinarekebishika unavyopenda we mwenyewe. Garage za wachina zipo kibao za ku repair bodies na pannel bitting!
 
Mzuri na mbaya inachangia mmoja kua mnyenyekevu sana sometymz!Wako watu wanaotumia uzuri wao kuwacontroll wenzi wao!

Hapo,that may be one of the heart of the matter. Nakubaliana na wewe Lizzy. Kuna jamaa yangu anapata shida na mke wake, kisa nimzuri (nanimzuri kwelikweli). Tukiwa in a meeting akipigiwa simu atatoka mbio na kuendesha gari as if kuna mtu akamtuma maiiti inayofanana na yeye. Baada ya muda unalazimika kumpigia simu kama kafika salama. Kazi kwelikweli.
 
Back
Top Bottom