PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,454
Maghufuli hili linafanyika chini ya wizara yako,Arusha inahitaji kujengwa barabara za nnje ya jiji kutokana na barabara hizo kuwa mbaya kupita kiasi nakupelekea barabara kuu ya uhuru kuwa na msongamano wa magari kupita kiasi,barabara hi ya uhuru inahitaji marekebisho kidogo tu ili iendelee kutumika kwamuda mrefu zaidi,wanajamvi hamwezi kuamini kinacho endelea sasahivi ni lami yenye kama NCH moja na1/2 inawekwa juu ya lami,hili linafanyika kwenye barabara ya uhuru na imeanza kuzua malalamiko kwa wananchi.na kuhoji ukowapi umakini wa viongozi nchi hiii?
CHANZO:MIMI MWENYEWE
CHANZO:MIMI MWENYEWE