Kwa mtazamo wangu kesho hamna tamko la serikali?

Msambaa mkweli

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
320
342
Kwa nilichokiona kupitia ITV, PM hawezi kutoa tamko rasmi la serikali, upepo umengeuka. Je utafukuza kazi na utumishi, watumishi wote? "na litakalo kuwa na liwe" nakushauri PM ktk vita hii, anza kufukuza wagonjwa.
 
Inahitjika kwanza kujua hali ya Dr. Ulimboka. Anaonekana kwamba ni walking wounded. Hili jambo lina hallmarks za Usalama wa Taifa,if half the things that were said are to be believed. Lakini kama ni hivyo kwa nini Suleiman Kova ansema amelivalia njuga?
Lililotokea hapa ni mashshushu walikuwa wanafanya kazi yao ya ''kawaida',ingawa kazi hii inafanana kama vile mashushushu wa Khadafi,au wa Uzbekistan.
Ikumbukwe pia kwamba wapo wagonjwa hospitali ambao wanasubiri huduma. Hili jambo ni complex,labda litaishia na kujiuzulu kwa Dr. Hussein Mwinyi. Jambo gani limemfika Dr. Ulimboka? Serikali itaelezea au rumour mills zitaachiwa zifanye kazi? Kama hakumia sana,basi itabidi madaktari warudi kazini,lakini hili swala halitaisha upesi. No one wanted this problem to end peacefully,kwa sababu haya ni matatizo ambayo yanaletwa na incopetence ya Serikali kwa kshindwa kuwalipa wafanyakazi wake.
Much ,very much will depend on the condition of this doctor who was attacked.[ and IF he was attacked by the government]
 
Sioni haja ya kuwa bunge kesho let alone statement ya Pinda. Huku mtaani watu wanasikia kichefuchefu.
 
Kama serikali imebaki na busara japo kidogo tu, kesho isitoe kauli zaidi. leo Pinda kashasema litakalokuwa na liwe. sasa hapo kuna jipya gani?
Kuwalazimisha drs kurudi kazini kwa amri ya mahakama na hali hii ya Ulimboka, itawafanya wawe na mgomo baridi ambao madhara yake ni makubwa kuliko hata haya ya walimu tunayoyaona.
Kuwafukuza wote kazi ndo kitendawili zaidi. maana hapa tu hospital za umma , Drs hawatoshi, sasa wakiwafukuza si ndo nchi itakuwa imepinduliwa rasmi?

Baba Mwanaasha, naamini hata kama busara zimemuishia, ajaribu hata kuongea na wazazi wake wanaweza kumpa kaushauri kadogo kenye busara ya kuepusha hasira za Drs na Watanzania kuhamia kwenye vitendo.
 
mimi naona umefika wwakati kwa mh:jakaya mrisho kikwete kuonesha yeye si dhaifu kwa kuanza kwanza na hawa ma doctor,na mgomo wao,mwananchi wa kawaida kugoma sioni kuwa ni tatizo kubwa kama vile mgomo wa ma doctor,ni sawa na mwanajeshi kuvua magwanda na kusema yupo kwenye mgomo huku nchi ikiwa haina ulinzi wa aina yeyote ile,kwa kuwa mulisomea wenyewe udoctor lazma mukubali maadili ya madactari,dactari si muuwaji ni muokozi kwa wagonjwa wangapi waliokosa tiba wamekufa kwa uzembe wenu??!!
 
Back
Top Bottom