Kwa mtazamo huu tanzania itaangamia

peter tumaini

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
573
94
Salaam Wanabodi,

Nimejaribu kufatilia vyombo vingi vya habari pamoja na hapa jamvini kujua nini kinajiri na nini maoni ya Watz kuhusu Bajeti hii ya 2012/13. Lakini nimeshangwazwa na mijadala iliyopo sasa kinachojadiliwa ni matukio yaliyojili Bungeni na wala sio bajeti tena.
Naona inshu ya Mnyika ndo imeteka mjadala wa bajeti,Mwigulu pia kapatia umaarufu(negative/positive) katika bunge hili la bajeti.
Wachache tu ndo bado wamejikita katika mjadala.Sioni kama hili litatusaidia sana nilitegemea hapa jamvini tutachambua mapungufu ya hizi bajeti na kutoa suluhisho kwa MTZ kwa mtazamo wa kina zaidi lakini hali imekuwa ni tofauti.Hakuna tofauti ya mijadala ya Great thinkers na vijana wa vijiweni kuhusu bajeti kwa sasa.

Naomba tubadilike tutoe michango yetu kwa manufaa ya Tz yetu.

MY TAKE;MODS anzisha sub forum ya Bajeti 2012/13 kisha tupia bajeti zote mbili na ikiwezekana hata za Kenya na Uganda pia ili kuongeza wigo wa mjadala.Kwani bajeti za wizara zitatokana na bajeti hii mama.
 
attachment.php
 
nikweli issue ya mnyika imefunika jambo la msing zaidi kwa taifa letu. Naunga mkono hoja turudi kwenye kujadiri bajeti.
 
Back
Top Bottom