Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

maeneo hayo ni mazuri maana kuna mzunguko wa watu na vile vile maji ni hitaji muhimu ila uangalie vijana ambao ni waaminifu maaana nao wanaweza kukuibia na uwe karibu nao kujua kinachoendelea na sio kukaa tu nyumbani bila kujua kinachoendelea kwenye biashara na matumizi yako yadhibit kwa kiasi kikubwa. kila la kheri

asante mkuu.
 
Hapa kuna Mambo ambayo tunashindwa kuyaelewa kuhusu Biashara,

1. Kwanza Tukumbuke kwamba Mahali popote pale Duniani na hatanukifuatilia historia ya Great Entrepreners kama Michael deli, Honda, Thomas Edsono, Bill gate na wengineo walianza na WAZO kwanza kabla ya kutafuta Mitaji,

SO MITAJI HUJA BAADA YA WAZO, na inashangaza kwamba mtu anachukua mkopo Benki na kuweka nyumba yake rehan theni ndo anaanza kuuliza marafiki zake kwamba afanye BIASHARA GANI, Hii inaonyesha ni kiasi gani hatuko Siriasi na Kuna Rafiki yangu mmoja aliwahi kunitonya kwamba watu kama Wakenya huwa wanaingia sana humu na kusoma udhaifu wetu na that is wahy KENYA WANA MAKAMPUNI ZAIDIU YA 300 HUKU TANZANIA WAKATI SISI TUNAYO MA NNE TU HUKO KWAO

2. Wazo La Biashara ni Zaidi ya Pesa, Wazo la Biashara ni Primary capital yako, Wazo lako la Biashara ndo litakalo Ditermine wewe utafaninikiwa kivipi, na si Pesa,

3. Pesa hazijawahi kushinda Business Aidea, that is wahy Utakuta mtu amestafu na kupewa Mafao yake MILIONI 70 huyu mstaafu anaishia kuanzisha Biashara za ajabu kisa tu anapesa na mwisho wa siku anafilisika na Kurudi kwenue UMASIKINI MKUBWA SANA,

KATIKA BIASHARA YOYOTE ILE WAZO NDO HUANZA KABLA YA PESA NA HAKUNA TAJIRI YOYOTE YULE HAPA DUNIANI ALIYE ANZA NA PESA THEN WAZO, LABDA KAMA ALICHEZA KAMALI AU ALISHINDA BAHATI NA SIBU

4. AIDEA- THE BEST BUSINESS AIDEA NI ILE UNAYO ANZISHA WEWE MWENYEWE/BUNI WEWE MWENYEWE, Na Good Business Aidea inajiuza yenyewe,

sound Business Aidea ni ipi?

Hii ni wazo la Biashara ambalo kwa kweli ukienda kupresent WATU WATAKUVULIA KOFIA, na si wazo tu ilimuradi,

MWISHO:

Ni vigumu sana mtu kuwa Dar na mwingine kuwa Mwanza halafu Wa Dar anamwambia wa Dar afanye Biashara fulani, Hapa ni kudanganyana tu na hakuna chochote, Mimi niko Arusha namwabia mtu alieko Mbeya kwamba anzisha Tigo pesa huko, mimi nimejua vipi mazingira ya huko? je nimeisha fanya research kambla ya kumshauri mtu?

WAZO LOLOTE LILE KABLA HUJALITOA NJE NI LAZIMA ULIFANYIE RESEARCH KWANZA NA TUSIFANYE MAZOEA, HATA KAMA NI BIASHARA AMBAYO IMEZOELEKA HAPA TANZANIA KAMA M-pesa, Tigo pesa, ,Migahawa, na kazalika ni lazima ufanyie Utafiti wako
 
Upo sahihi mkuu,kuna huyo hapo juu anamshauri kuchukua mananasi mwanza na kuyaleta dar,kwa mtaji wa laki moja!!inaweza isiwezekane,hata ikiwezekana but in deep risk.
 
Mkuu kuna hizi juice za azm na coca,carton 6500 ziko 12,tafuta plastic za kuhifadhia mabarafu,nunua mabarafu 3( 1500 jaza zipoe,maeneo ya watu wengi mfano stendi unauza 1000@kila moja,utapata 1200 kwa carton toa gharama ya barafu1500 inabaki 4000 ndo faida kwa kila carton 1,hivo lazima ufanikiwe.
 
Biashara nyingi Tanzania huwa zikianza hazidumu sana zinakufa kwa kuwa sisi tunaenda kinyume nyume. Unakuta mtu amefumania milioni 10 ndio anaanza kufikiria biashara gani afanye.Yaani ilimradi tu na yeye afanye biashara.

Kule kwa wenzetu unakuta mtu hana hata dollar 100 mfukoni anatengeneza wazo la biashara ambayo inahitaji mtaji wa mamilioni ya Dollar na biashara inaanzishwa na kutengemaa na kumfanya yeye awe millionaire baadae. Tuache kwenda kinyume nyume kwenye biashara.
 
Being an entrepreneur requires hard work, dedication, perseverance, and patience. Some of the most successfulentrepreneurs started at the bottom of the business and slowly worked their way to companies that turn millions of dollars in profit each year.

So what is the key to their success? The willingness to start at the bottom; to work hard, developing the necessary skills and talents to run a successful business; and tapping into industries that are underdeveloped.
 
Hapa kuna Mambo ambayo tunashindwa kuyaelewa kuhusu Biashara,

1. Kwanza Tukumbuke kwamba Mahali popote pale Duniani na hatanukifuatilia historia ya Great Entrepreners kama Michael deli, Honda, Thomas Edsono, Bill gate na wengineo walianza na WAZO kwanza kabla ya kutafuta Mitaji,

SO MITAJI HUJA BAADA YA WAZO, na inashangaza kwamba mtu anachukua mkopo Benki na kuweka nyumba yake rehan theni ndo anaanza kuuliza marafiki zake kwamba afanye BIASHARA GANI, Hii inaonyesha ni kiasi gani hatuko Siriasi na Kuna Rafiki yangu mmoja aliwahi kunitonya kwamba watu kama Wakenya huwa wanaingia sana humu na kusoma udhaifu wetu na that is wahy KENYA WANA MAKAMPUNI ZAIDIU YA 300 HUKU TANZANIA WAKATI SISI TUNAYO MA NNE TU HUKO KWAO

2. Wazo La Biashara ni Zaidi ya Pesa, Wazo la Biashara ni Primary capital yako, Wazo lako la Biashara ndo litakalo Ditermine wewe utafaninikiwa kivipi, na si Pesa,

3. Pesa hazijawahi kushinda Business Aidea, that is wahy Utakuta mtu amestafu na kupewa Mafao yake MILIONI 70 huyu mstaafu anaishia kuanzisha Biashara za ajabu kisa tu anapesa na mwisho wa siku anafilisika na Kurudi kwenue UMASIKINI MKUBWA SANA,

KATIKA BIASHARA YOYOTE ILE WAZO NDO HUANZA KABLA YA PESA NA HAKUNA TAJIRI YOYOTE YULE HAPA DUNIANI ALIYE ANZA NA PESA THEN WAZO, LABDA KAMA ALICHEZA KAMALI AU ALISHINDA BAHATI NA SIBU

4. AIDEA- THE BEST BUSINESS AIDEA NI ILE UNAYO ANZISHA WEWE MWENYEWE/BUNI WEWE MWENYEWE, Na Good Business Aidea inajiuza yenyewe,

sound Business Aidea ni ipi?

Hii ni wazo la Biashara ambalo kwa kweli ukienda kupresent WATU WATAKUVULIA KOFIA, na si wazo tu ilimuradi,

MWISHO:

Ni vigumu sana mtu kuwa Dar na mwingine kuwa Mwanza halafu Wa Dar anamwambia wa Dar afanye Biashara fulani, Hapa ni kudanganyana tu na hakuna chochote, Mimi niko Arusha namwabia mtu alieko Mbeya kwamba anzisha Tigo pesa huko, mimi nimejua vipi mazingira ya huko? je nimeisha fanya research kambla ya kumshauri mtu?

WAZO LOLOTE LILE KABLA HUJALITOA NJE NI LAZIMA ULIFANYIE RESEARCH KWANZA NA TUSIFANYE MAZOEA, HATA KAMA NI BIASHARA AMBAYO IMEZOELEKA HAPA TANZANIA KAMA M-pesa, Tigo pesa, ,Migahawa, na kazalika ni lazima ufanyie Utafiti wako

k2 ulichokizungumza mkuu ni senstve,bt kwenye baadh ya sehemu hapo juu nmesema niko geita kwa mda tuu,mda mwng niko dsm,wazo la biashara ya maji ya viroba na ya chupa ninalo mda mrefu hata kabla cjaipata hii i thnk i was form six by then,lakn nathamn mchango na nakushukuru xana.be blesd.
 
mi nafanya biashara ya mkaa,join na mimi nikuletee,uuze au umweke mtu auze,kama huwezi nanunua mzigo nakulllllllllletea unauuza kkwea jumla,Mkaa mpaka ufike hapa unakuwa umecost 28000 per bag,Ukiuza hapa dar unauza kwa tsh 37000 per bag,hiyo ni whole sale,,,,retail ni 40000 up to 45000 per bag,,nina kibali kabisa,,,Au kama uko ruaha tafuta shamba kama heka moja,lima vitunguu.Lima kwa kisasa,heka moja ukitumia vibarua na ni umwagiliaji unapata bag 50 mpaka 90 or 100 bag,,ukiuza kila bag sh 60000,unapata kuanzia 3m ,5m to 6m,,hiyo ni ndani ya miezi mitatu,,unakua umevuna

Fanyia utafiti zaid hiyo ya mkaa, itakulipa na ni mali isiyosumbua uuzaji wake endapo utatafuta sehemu nzuri, haiharibiki na hivyo huna wasi wasi wa kupoteza hela yako
 
k2 ulichokizungumza mkuu ni senstve,bt kwenye baadh ya sehemu hapo juu nmesema niko geita kwa mda tuu,mda mwng niko dsm,wazo la biashara ya maji ya viroba na ya chupa ninalo mda mrefu hata kabla cjaipata hii i thnk i was form six by then,lakn nathamn mchango na nakushukuru xana.be blesd.

Ok mkuu but hakikisha biashara unayo taka kuanza unakuwa na malengo nayo

MFANO:
1. BIASHARA YA MAJI- Je nini lengo lako haswa katika hiyo biashara? unataka kuwa wapi baada ya miaka kumi ijayo na hiyo biashara?

2. MATUNDA- Je unataka baadae kufika wapi na hiyo biashara? au ndo kuanzisha leo baada ya mwezi umeacha na umeanza nyingine?

3. MIGAHAWA/CHAKULA- Vipi lengo lako ni nini?

Unatakiwa kuweka malengo na njia za kuyafikia malengo hayo

TATIZO LETU TUNAFANYA BIASHARA KAMA HARAMBEE VILE,

- Matu anaaznisha Biashara ya Tax baada ya miaezi sita kaacha kaanzisha ya Chips baada ya mwaka kaacha kaanzisha ya M-PESA baada ya miezi mitano katemana nayo kaanza ya kuuza Pombe, Ndani ya mwaka mmoja mtu ameisha fanya Biashara kumi tofauti na kaisha achana nazo zote

Hapa lazima kuna Tatizo, Huwezi kila baada ya mwaka unaanzisha biashara mpya na kuachana na ya zamani, Kinacho takiwa ni malengo tu, Mfano naanzisha biashara ya TAX na lengo langu ni baada ya miaka kumi niwe kiongozi katika biashara ya TAX Tanzania nzima na baada ya miaka 15 niwe kiongozi katika Africa mashariki
 
i get u bro,nitaanzsha uzi wa biashara hii mda c mrefu,naamin utansaidia xana kwa mawazo hasa changamoto zake.narudia tena nawashukuru xana kwa michango yenu,co tu imenpa mwanga bt imenijenga xana.be blesd all.
 
huko geita kunatatizo la hospitali kwanini usikodishe nyumba ukafungua hospitali kubwa tu pesa yako itarudi tu
 
Mkuu, pamoja na kwamba wanandembendembe wanadai laki si pesa, nakushauri, kama uko sehemu yenye fursa ya kulima, iwekeze huko. Vinginevyo utuambie uko wapi, labda itasaidia kushauri. Maana laki Dar na Laki Katavi zinaweza kufanya mambo tofauti.
 
Unaweza kutafuta vijana ukawapa biashara ndogo na kukuletea faida. Mfano Mayai ya kuchemsha. Mtaji ukikua unaweza kukaanga chipsi. Kutokana na usomi wako unafanya kwa ubunifu zaidi. Wapo waliofanya hivi na mtaji ukakua sana.
 
Back
Top Bottom