Elections 2010 Kwa mtaji huu Tabora Mjini, Rage atapeta!

SirBonge

JF-Expert Member
Jul 18, 2010
378
435
Hivi Chadema hawakusimamisha mgombea pale TBR Mjini? hawa jamaa naona wasanii tu wote hamna mwenye point hata mmoja, kwa mtaji huu CCM wameshalikwaa jimbo hilo!
 
duh...wote vichwa maji. Ccm itapeta. Kuna mmoja kaja na vipaumbele vyake zaidi ya saba na atavitekeleza ndani ya week moja na nusu toka apate ubunge. Kaaaazi kweli kweli.
 
Labda huyo wa CUF... ila chadema hawakuwatendea haki wana-tabora kwa kutosimamisha mgombea wa ubunge....
 
Hivi Chadema hawakusimamisha mgombea pale TBR Mjini? hawa jamaa naona wasanii tu wote hamna mwenye point hata mmoja, kwa mtaji huu CCM wameshalikwaa jimbo hilo!

unajiuliza swali kisha unatoa jibu mwenyewe ... what a crap
 
Tabora tunamhitaji SLAA peke yake.

Huyu akija, watu kama akina Rage watakimbia wenyewe......
 
Hivi Chadema hawakusimamisha mgombea pale TBR Mjini? hawa jamaa naona wasanii tu wote hamna mwenye point hata mmoja, kwa mtaji huu CCM wameshalikwaa jimbo hilo!

Rage was incarcerated a few years ago for felony charges, and therefore he's a felony!
I wonder why we do elect felonies in the congress!
 
basi ni vizuri sisoteee tukamuunga mkono huyo wa cuf
Pendekezo zuri. Hata kama hakuna makubaliano rasmi kati ya vyama ni vizuri pale ambapo mgombea mmoja wa upinzani anaonekana kukubalika wote tumpigie huyo kura. Tabora onyesheni mfano kwa kumpigia mgombea wa CUF. Kinachohitajika ni nguvu ya mageuzi bungeni. Rage anajulikana ni fisadi papa.
 
duh...wote vichwa maji. Ccm itapeta. Kuna mmoja kaja na vipaumbele vyake zaidi ya saba na atavitekeleza ndani ya week moja na nusu toka apate ubunge. Kaaaazi kweli kweli.

Hii inanikumbusha vipaumbele vya Dr.Slaa ndani ya siku 100!.May be inawezekana,kama Rais wao kwa nchi nzima siku 100,je mbuge wa jimbo,siku 7 ni nyingi sana.
Du kweli hawa jamaa vichwa maji,akya ya nani!.
 
Kuna mgombea wa CUF yuko makini sana nadhani atawasumbua CCM, Tabora ni ngome ya Prof Lipumba (ndipo nyumbani kwao). Dogo anajitahidi na ni mwelewa, yeye anajiita WaHapaHapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom