Kwa mstari huu FID Q kachemka!

Jimjuls

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
484
161



Mimi huwa napenda hiphop sana.Niliposilikiza hii video ya Cypher 2012-Various Artists nilipatwa na mshangao.Sijui Fid Q alikuwa anafikiria nini kwenye ule mstari anaosema "Changanya ****** ili mavi yasigande"...
 
Last edited by a moderator:
Ukitaka kujua uwezo wake muulize joti wa ze orijino komedi katika session ya vilaza!
 
mpumbavu huyo.
sijui hata kwa nini watu wanamsifia ukizingatia katika kila nyimbo yake ni lazima aibe kazi ya wana mashairi wetu au wana methali wetu walioumiza vichwa na kutunga misemo then yeye ana copy na kupaste kisha akileta sokoni watanzania oya oya wanamsifu na kumpaisha...

sheenz type
 
Kuchemka kupo kwa kila binadamu ndiyo maana kwenye track yake ya usinikubali haraka anasema...binadamu mimi najua sijakamilika,nitwange kama dawa za utamu kila dakika! Pia kuna nyingine ile Fid Q.Com kuna mstari anasema...maneno machafu mpumbavu huyadaka upesi,mithili ya nzi na mlima kinyesi.Sijui kwa nini anapenda kuyatumia maneno ya aina hii...labda kwa sababu hahitaji marafiki labda ampate mmoja ya kuongea nae,mwingine wa kumwongelea!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom