Nianze kwenye nyekundu, how?
Kama unazungumzia bunge kwa sababu limechaguliwa directly na wananchi,je limechaguliwa ili likafanye nini?
Kumbuka kuwa mbunge siyo kiongozi wa wananchi wa jimbo lake, ni mwakilishi tu kwenye utungaji wa sheria. Zaidi ya hapo, ni mwananchi kama wananchi wengine. Sasa kama hakimu mkazi wa mahakama ya kisutu anafanya kazi (as a regular citizen) kwanini mbunge asifanye kazi?
Mbunge siyo kiongozi, siyo mtekelezaji na wala siyo mfanyakazi wa utendaji. Kuhudhuria kwake msiba ni kama wananchi wengine .... baada ya kazi unless awe anahitajika kwenye kikao cha halmashauri ya wilaya/manispaa/jiji husika.
Mbunge huwakilisha jimbo na wanajimbo wake na rais huwakilisha taifa as a whole. Kwa hiyo Ndesamburo kususa kwa sababu hakupewa off ya kwenda unguja msibani (I doubt if he'd have gone newayz) haileti mantiki. Labda kama mnataka ku-force mambo, but nah!,.... sorry.
Hayo mambo yanahusiana vipi na shughuli za bunge? Ajali ikitokea vikosi vya uokoaji, polisi wanajeshi na wafanyakazi wengine wanaohusika ndio wanaoshughulikia. Sasa wabunge waahirishe kikao ili wafanye nini?.. Itasaidia nini? Kama Hamad alikuwa na udhuru si angeenda tu kuwapa pole wanajimbo wake, haijalishi saa nne asubuhi au saa kumi na mbili jioni.
Ni mambo ambayo kusema kweli hayana maana yeyote zaidi ya kuleta mtafaruku ndani ya bunge...... Pointless!
Hivi wewe unaakili kweli ama? Wacha kutoa maneno ya kifedhuli.Hayo mambo yanahusiana vipi na shughuli za bunge? Ajali ikitokea vikosi vya uokoaji, polisi wanajeshi na wafanyakazi wengine wanaohusika ndio wanaoshughulikia. Sasa wabunge waahirishe kikao ili wafanye nini?.. Itasaidia nini? Kama Hamad alikuwa na udhuru si angeenda tu kuwapa pole wanajimbo wake, haijalishi saa nne asubuhi au saa kumi na mbili jioni.
Ni mambo ambayo kusema kweli hayana maana yeyote zaidi ya kuleta mtafaruku ndani ya bunge...... Pointless!
Nianze kwenye nyekundu, how?
Kama unazungumzia bunge kwa sababu limechaguliwa directly na wananchi,je limechaguliwa ili likafanye nini?
Kumbuka kuwa mbunge siyo kiongozi wa wananchi wa jimbo lake, ni mwakilishi tu kwenye utungaji wa sheria. Zaidi ya hapo, ni mwananchi kama wananchi wengine. Sasa kama hakimu mkazi wa mahakama ya kisutu anafanya kazi (as a regular citizen) kwanini mbunge asifanye kazi?
Mbunge siyo kiongozi, siyo mtekelezaji na wala siyo mfanyakazi wa utendaji. Kuhudhuria kwake msiba ni kama wananchi wengine .... baada ya kazi unless awe anahitajika kwenye kikao cha halmashauri ya wilaya/manispaa/jiji husika.
Mbunge huwakilisha jimbo na wanajimbo wake na rais huwakilisha taifa as a whole. Kwa hiyo Ndesamburo kususa kwa sababu hakupewa off ya kwenda unguja msibani (I doubt if he'd have gone newayz) haileti mantiki. Labda kama mnataka ku-force mambo, but nah!,.... sorry.
Kwa username yako na comment yako napata feeling kuwa we ni mh Lusinde, sorry kama siyomwenyewe umejitahidi kuandika nimesoma hakuna la maana hapa
Hayo mambo yanahusiana vipi na shughuli za bunge? Ajali ikitokea vikosi vya uokoaji, polisi wanajeshi na wafanyakazi wengine wanaohusika ndio wanaoshughulikia. Sasa wabunge waahirishe kikao ili wafanye nini?.. Itasaidia nini? Kama Hamad alikuwa na udhuru si angeenda tu kuwapa pole wanajimbo wake, haijalishi saa nne asubuhi au saa kumi na mbili jioni.
Ni mambo ambayo kusema kweli hayana maana yeyote zaidi ya kuleta mtafaruku ndani ya bunge...... Pointless!
Huyu atakuwa ni mganga wa kienyeji aliyekuwa kwenye kikao cha kupanga mipango ya kumwaga damu baharini (kwa LEBIATHAN) lile joka la baharini/shetani ili serikali yake iimarike zaidi maana ipo kwenye misukosuko sana.
Hivi Ncimbi alitoa sababu gani za kuhairishwa kwa bunge?Spika hakua na habar za uhakika kuhusu hiyomeli kupinduka na kuzama ndio maaana alikua anamngja waziri husika atoe taarifa kamili therfore asingeweza ahirisha bunge kbla ya taarifa kamili ths my point of view,,!namtetea kwahlo lkn mwngne hapanaa