Kwa msichana mwenyeji wa mbeya anayehitaji kuingia kwenye ndoa soma hapa, serious

Oct 11, 2012
1
0
Serious na kwa dhati kabisa natafuta msichana aliyetayari kuingia kwenye ndoa na kuanzisha nae familia kama mume na mke baada ya kufahamiana na kuridhiana. Kama hauko serious tafadhali kaa kando kwani sitaki mambo ya kupotezeana muda.

WASIFU WANGU;
Jinsia: Mwanaume
Umri: 27 yrs
Mwonekano: Mwembamba, urefu wa wastani, mweusi kiasi.
Dini: mkristo ( moraviani)
Kazi: mwajiriwa serikalini
Uhusiano: nipo single na sijawahi kuoa.
Mtoto: sina
Pombe: situmii
Sigara: situmii
Nyumbani: Mbeya
Makazi ya sasa: Shy kikazi

WASIFU WA MLENGWA;
Jinsia yake; msichana
Umri wake; asizidi 25 yrs
Mwonekano wake: awe na umbo la wastani ( sio mwembamba sana au mnene sana), mweupe au maji ya kunde.
Dini yake; mkristo ( mcha mungu wa kweli)
Kazi yake; yoyote halali au hata kama hana kazi sawa
Uhusiano: awe single, hajawahi kuolewa.
Watoto: asiwe na mototo
Vilevi; asitumie pombe wala sigara au kilevi cha aina yoyote
Nyumbani: awe mwenyeji wa Mbeya ( Ni muhimu sana)

Kwa msichana yeyote mwenye wasifu huo aliyetayari na aliye serious kwa kuingia kwenye ndoa tuwasiliane kwa email detectivemaster@ymail.com au simu 0656380928 au 0752539979.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom