Kwa Mpenzi Wako - Je, unajali/ulijali ni wangapi aliwahi kutembea nao kabla yako?

Ha ha ha mama.....trust me or not nimekutana nae akiwa bikra mwaka wa pili chuo kikuu...namqoute "leo tarehe .... nimekupa mwili wangu..ukiwa hujaguswa...ili uniamini" uffs....siku naamini...ila leo mtu akiniambia..kuwa kakutana na wa hivyo ukubwani naamini...ila usiniulize ni vipi niliweza tofautisha ya kichina na kweli...kwa kuwa na za kichina zipo.

Unaweza pata penzi feki la kichina.

Good night

Acha ujinga mshikaji wangu, hiyo Bikira uliyopewa ni feki, Siku hizi bikira zinauzwa madukani, nenda dukani kwa Maymather pale kinondoni utazikuta kibao, zipo made in China, Dubai hata Taiwan.

Wasichana wa siku hizi ukimkuta anabikira kama sio ya kununua dukani basi jua bikira ya nyuma ameshapoteza siku nyingi sana. Style hiyo ya kutoa tigo ili kusave bikra wanatumia sana Waarabu. Chunguza ndugu then utaniambia.

KARAGABAHO
 
Virginity for sale
[media]http://www.youtube.com/watch?v=rSYzuU5fy68[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=30zEJGPYUAU&feature=related[/media]
 
'Usilolijua halikusumbui', mi nadhani ni vizuri kila mmoja atunze historia yake labda kama kuna ulazima wa kuielezea kwa manufaa ya uhusiano wenu. "Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza" wakati mwingine ni vizuri kuwa gizani kwani ukweli mwingine unauma hasa katika mapenzi!
 
Acha ujinga mshikaji wangu, hiyo Bikira uliyopewa ni feki, Siku hizi bikira zinauzwa madukani, nenda dukani kwa Maymather pale kinondoni utazikuta kibao, zipo made in China, Dubai hata Taiwan.

Wasichana wa siku hizi ukimkuta anabikira kama sio ya kununua dukani basi jua bikira ya nyuma ameshapoteza siku nyingi sana. Style hiyo ya kutoa tigo ili kusave bikra wanatumia sana Waarabu. Chunguza ndugu then utaniambia.

KARAGABAHO

Ha ha ha nilijua,ntapata upinzani.....sasa...yaaa ndio ndio maana nilisema usiniluze nilijuaje kama si ya kichina au dubai.
 
Msichana ambaye niliachana nae mwaka huu niligombana nae siku moja then ndugu yake mmoja akaja kuniambia ukweli kuhusu dada huyo kwamba alikuwa anajiuza wakati akiwa chuo ili aweze kupata chochote wakati huo jamaa ambaye alikuwa nae hakuwa na uwezo wowote kwahiyo nae alitegemea huyo dada ajiuze ili aweze kupata chochote

tulivyogombana ndio akaniambia ukweli huo --- kumbe zamani ningejua hii hata nisinge hangaika nae unaona nimekaa nae miaka 2 hivi so thats how it ended

na aliniambia hata kwangu alikuwa anajiuza

Pole sana shy duh !! kumbe ulikua unauziwa bila kununua.
 
Kwa Upande wangu, napenda kujua historia ili nisijekuwa surprised. lakini historia hiyo haitasababisha mimi kumkataa au kutokumuamini.
in fact, I prefer a partner who have had many partners before me.
with that i know he is experienced and maybe ready to settle with me.
 
Mrembo dia

pia ujuandae kisaikolojia ukisikia ana partners wengine wakati uko nae kwenye mahusiano usilie wala kulalamika. Hata kuwa na wenzi wa aina mbalimbali ni experience.
 
Swala la kuwa na wapenzi wakati yupo na mimi ni tofauti na halikubaliki.
lakini hata ivyo ni lazima kujiandaa kwa hilo pia yaani dont trust 100%. maana dunia imechafuka
 
Mrembo dia

pia ujuandae kisaikolojia ukisikia ana partners wengine wakati uko nae kwenye mahusiano usilie wala kulalamika. Hata kuwa na wenzi wa aina mbalimbali ni experience.

mama, Swala la kuwa na wapenzi wakati yupo na mimi ni tofauti na halikubaliki.
lakini hata ivyo ni lazima kujiandaa kwa hilo pia yaani dont trust 100%. maana dunia imechafuka
 
mama, Swala la kuwa na wapenzi wakati yupo na mimi ni tofauti na halikubaliki.
lakini hata ivyo ni lazima kujiandaa kwa hilo pia yaani dont trust 100%. maana dunia imechafuka

utakuwa unajiweka mashakani muda wote kama humtrust mwenzi wako 100%? may be if that is the only option available? kama wewe ni mwanamke ( mrembo mwanaume....never know) inategemea na umri na what you want in your life.

If you are approaching 40 years inaanisha you have narrowed your search in such a way, yeyote yule hata kama unajua humtrust, humpendi, sio wa type yako nk na kwamba umejiwekea kwamba lazima uwe na mwenza maishani mwako. Hapo nitaelewa kwa nini usitrust 100%. Otherwise true love is accompanied wih 100% trust.
 
Mimi sidhani kama kuna haja ya kujua nani aliwahi kutembea nae na wangapi kwa sababu zifuatazo:
1.Chuki- Inaweza kuleta chuki baina ya hawa watu wawili maana huwezi fahamu kila mtu an aina ya wivu wake

2.Uhuru-Unaweza kukosa uhuru pindi mtakapokutana wewe na huyo wa zamani mbele ya huyu wasasa maana kitu kidogo chawza kuzua ugomvi baina yao

Chamsingi ni kuwa waaminifu ndani ya maisha mapya mambo ya kufuatiliana Background hamtafika popote mtaishia kuwekeana visasi, yanarudi yaleyaleeee
 
Kweli usemayo ndio maana nikasema hapo mwanzo dunia kwa sasa imekuwa ndogo sana kutokana na watu kuwa karibu zaidi kutokana na technologia hizi za mawasiliano watu wanatakiwa wawe makini sana wanapofanya machaguo yao na kupanga maisha yao ya mbeleni angalia chaguo hilo lisijekuwa ndio anguko lako la milele
 
utakuwa unajiweka mashakani muda wote kama humtrust mwenzi wako 100%? may be if that is the only option available? kama wewe ni mwanamke ( mrembo mwanaume....never know) inategemea na umri na what you what in your life.

If you are approaching 40 years inaanisha you have narrowed your search in such a way, yeyote yule hata kama unajua humtrust, humpendi, sio wa type yako nk na kwamba umejiwekea kwamba lazima uwe na mwenza maishani mwako. Hapo nitaelewa kwa nini usitrust 100%. Otherwise true love is accompanied wih 100% trust.

kumtrust mtu 100% ni kujidanganya na kujitia moyo tu. Kwani nimeona asilimia kubwa ya watu wa ivyo wamekuja kuwa disappointed big time especially kwenye maswala ya kucheat (unless unatumia theory ya innocent until proved guilty). mi nafikiri ni vizuri kujiwekea probability kuwa mpenzi wako anaweza kucheat at some point. kwa uande wangu naona hili linanifa zaidi maana huwa inanichukua mda mrefu sana ku overcome disappointments
 
Bado wako lakini inabidi uende kwa mganga kuwapata ;). Juzi nilimuona mzungu (mmarekani) kisura kweli kweli alikuwa anauza ya kwake to the highest bidder. Sikufuatilia kujua nani aliinunua kwa bei mbaya :)

Highest responsive bidder to be exact..
 
Last edited by a moderator:
Acha ujinga mshikaji wangu, hiyo Bikira uliyopewa ni feki, Siku hizi bikira zinauzwa madukani, nenda dukani kwa Maymather pale kinondoni utazikuta kibao, zipo made in China, Dubai hata Taiwan.

Wasichana wa siku hizi ukimkuta anabikira kama sio ya kununua dukani basi jua bikira ya nyuma ameshapoteza siku nyingi sana. Style hiyo ya kutoa tigo ili kusave bikra wanatumia sana Waarabu. Chunguza ndugu then utaniambia.

KARAGABAHO

Dah, I'm speechless..
 
kumtrust mtu 100% ni kujidanganya na kujitia moyo tu. Kwani nimeona asilimia kubwa ya watu wa ivyo wamekuja kuwa disappointed big time especially kwenye maswala ya kucheat (unless unatumia theory ya innocent until proved guilty). mi nafikiri ni vizuri kujiwekea probability kuwa mpenzi wako anaweza kucheat at some point. kwa uande wangu naona hili linanifa zaidi maana huwa inanichukua mda mrefu sana ku overcome disappointments

Hmmm! Kwa hiyo wewe unatumia theory ya "guilty until proven innocent"? Kutakuwa na mapenzi kweli kwenye mahusiano yenu? Mimi kwa maoni yangu kama huwezi kumuamini mpenzi wako 100% basi hakuna sababu yoyote ya kupoteza muda wako maana chochote kile kitakachofanywa na yeye basi wewe utakuwa unakiwekea mashaka na alama za kuuliza chungu nzima. Uhusiano wa kimapenzi ambao hauna kuaminiana huwa haudumu muda mrefu ni bora kushika hamsini zako badala ya kupoteza muda.
 
Acha ujinga mshikaji wangu, hiyo Bikira uliyopewa ni feki, Siku hizi bikira zinauzwa madukani, nenda dukani kwa Maymather pale kinondoni utazikuta kibao, zipo made in China, Dubai hata Taiwan.

Wasichana wa siku hizi ukimkuta anabikira kama sio ya kununua dukani basi jua bikira ya nyuma ameshapoteza siku nyingi sana. Style hiyo ya kutoa tigo ili kusave bikra wanatumia sana Waarabu. Chunguza ndugu then utaniambia.

KARAGABAHO

.Duh kwa Maimatha?? Hebu nijuzeni ndo zinawekwaje, zikoje na utazitambuaje kama ni feki? Du ama kweli maendeleo
 
Hmmm! Kwa hiyo wewe unatumia theory ya "guilty until proven innocent"? Kutakuwa na mapenzi kweli kwenye mahusiano yenu? Mimi kwa maoni yangu kama huwezi kumuamini mpenzi wako 100% basi hakuna sababu yoyote ya kupoteza muda wako maana chochote kile kitakachofanywa na yeye basi wewe utakuwa unakiwekea mashaka na alama za kuuliza chungu nzima. Uhusiano wa kimapenzi ambao hauna kuaminiana huwa haudumu muda mrefu ni bora kushika hamsini zako badala ya kupoteza muda.

not necessarily, ni stratergy ya kujiweka tayari mda wote. kumbuka kuwa sikusema ya kuwa usitrust kabisa, I just think that you should always leave a room for a reasonable doubt.
 
Mrembo -- nitabadilisha mada kidogo

wakati fulani nimewahi kutokea kutoelewana nae , sasa jamaa mmoja akanifuata pembeni akaniambia ( dogo mtu kama wewe kwanini unakuwa na mwanamke anayeishi maeneo yale ) hivi mapenzi na mahusiano yana matter pia mtu anaishi wapi au anatokea mitaa gani ?

Nauliza tu
 
Leo unakuja na hii..........

Msichana ambaye niliachana nae mwaka huu niligombana nae siku moja then ndugu yake mmoja akaja kuniambia ukweli kuhusu dada huyo kwamba alikuwa anajiuza wakati akiwa chuo ili aweze kupata chochote wakati huo jamaa ambaye alikuwa nae hakuwa na uwezo wowote kwahiyo nae alitegemea huyo dada ajiuze ili aweze kupata chochote

tulivyogombana ndio akaniambia ukweli huo --- kumbe zamani ningejua hii hata nisinge hangaika nae unaona nimekaa nae miaka 2 hivi so thats how it ended

na aliniambia hata kwangu alikuwa anajiuza

Miezi kadhaa iliyopita ulitupa hii hapa chini:-[/B]

Well yeah almost the same thing happened to me. I trusted someone so much because I thought we had a good future together, we had been together for four years, I did a very stupid thing, last year i took a bank loan and gave him the money because his business was dying. In June this year he told me he was seeing someone else and in August they got married. I’m still paying the bank loan which is making me financially lost, and trying hard to be both a mother and father to my kid. Honestly I don’t think I want anything from him even if he one day decides to pay me.

If I dint have the loan to pay every month may be I might have been able to pay my fees.

Sasa mbona unatuchanganya Shy?..
 
Back
Top Bottom