Kwa mpango huu atasoma mtoto wa mengi na kikwete.

Itibari

Member
Feb 18, 2012
5
5
Suala la waajiriwa kutopata ufadhiri ni kutaka kuendeleza lile wimbi la watoto wa wakulima wa kigoma kutosoma. mfano mimi hapa nmeanza kazi ya ualimu mwaka 2004. mshahara wa mkononi hadi sasa ni sh 200000/= nikajisomeshe chuo kiku, si vichekesho. wakati huo unakumbana na maafisa km Bitwye, Kabanga na wengineo wa wilaya ya KASULU AMBAO UKIOMBA RUHUSA KWENDA MASOMONI UMEKARIBISHA UADUI NA "UNAFUKUZWA KAZI BILA MAANDISHI" Maana unasimamishiwa mshahara bila kutaarifiwa. sijui ni kutojua hata taratibu ndogo za kiutawala? na km ndivyo mkurugenzi anashindwa kuwaandalia semina. manake nia ni kuzitia halmashauri hasara pale muhusika anapokwenda kudai hak yake mahakamani. sa tujiulize 90% ya watanzania km mimi watasoma tena?
 
Back
Top Bottom