Kwa moyo wa eac eac unawafahamu hawa.........................................

chibhitoke

Member
Jun 1, 2010
60
12
Umewahi kuwasikia hawa, labda tungekuwa na sampuli kama za hawa nchi yetu ingekuwa tofauti

  1. Fred Rwigyema
  2. Alex Kanyerengwe
  3. Sir Agathon Rwasa
  4. Pasteur Bizimungu
  5. Faustin Twagiramungu
  6. Jean-Bosco Ndayikengurukiye
  7. Leonard Nyangoma
  8. Melchior Ndadaye
  9. Remmy Gahutu
  10. Rajabu Hussein
 
Umewahi kuwasikia hawa, labda tungekuwa na sampuli kama za hawa nchi yetu ingekuwa tofauti

  1. Fred Rwigyema
  2. Alex Kanyerengwe
  3. Sir Agathon Rwasa
  4. Pasteur Bizimungu
  5. Faustin Twagiramungu
  6. Jean-Bosco Ndayikengurukiye
  7. Leonard Nyangoma
  8. Melchior Ndadaye
  9. Remmy Gahutu
  10. Rajabu Hussein
Ni kweli tuko kwenye EAC...:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:...Lakini damu yangu imenisisimuka sana kuyaona majina hayo...jeez!...Bwana Yesu Ingilia kati!
 
PK,
Hao ni watu wema kabisa hawana tatizo ila uzalendo kwa nchi zao ndo umewajaa. Tungepata mtu kama Jean Bosco au Agathon Rwasa nadhani tungekuwa mbali sana. Sijui hili shirikisho hili litaanza lini, ili tupate hivi vipawa vituongoze wana wa EAC.
 
Back
Top Bottom