Kwa mnaohitaji kununua magari - tukutane hapa

Make : Toyota
Model : AltezzA
Mileage :86,000 km
Engine size: 2000 cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right
Transmission : Automatic
Drive : 2 wheel drive
Ext. Color : silver
M/Year : 1999
Doors : 4
Seats : 5
FEATURES :
Driver Airbag
Power Windows
Air Conditioner front
Power Steering
AM/FM Radio
CD Changer
CD Player
Power Mirrors
Price :
BEI INAKUA IMEJUMLISHA PAMOJA NA ;
Ushuru
Port charges
Agency fees
Marine insurance
registration
Bima ya barabarani
ecarstanzania@gmail.com
WAHI SASA! View attachment 436402View attachment 436403
Tuwekee na price bhasi
 
Tuwekee na price bhasi
Habari, tafadhari rejea ujumbe wangu wa jumapili iliyopita hapa. nilisema kua, nitakua naweka magari bila bei then kila mtu a
nasema offer yake, mwenye offer kubwa ndio atachukua gari.

Masharti na vigezo vitazingatiwa
.


So, waweza sema offer yako.
 
1479758135515.jpg
4.5 milion
 
Habari wana jf,
Jamani, hii thread naona imeingiliwa.
Napenda kutoa hii taarifa.
Mimi MAGARI7 ndie mwenye hii thread na Mimi.ndie ninaetakiwa kupost magari hapa.
Yeyote yule atakaepost gari/magari ya kuuza kwenye hii thread ambae sio Mimi MAGARI7, tafadhari mjue kuwa huyo sio Mimi.
Hivyo, sitahusika kwa namna yeyote ile iwapo utashawishika kufanya biashara na mtu mwingine ambae amepost kupitia thread hii.
Nina e-mail moja tu ya kazi ambayo ni
ecarstanzania@gmail.com
E-mail yeyote utakayotumiwa mbali na hii ujue kuwa huyo sio Mimi.
Natoa wito kwenyu mnaogongea,
Nawashauri mkafungua thread yenu, nanyie mkatangaza biashara yenu kuliko kuja kunifanyia fujo kwenye thread yangu.
Ama kabla ya kupost mnapaswa kuniomba idhini yangu.
Ahsante
 
Nina mteja yuko moshi anataka Ist au premio Offers 8-9m pamoja na iphone 6 mbili Offers 800-850k kama mali zipo njoo nikupe namba yake biashara ifanyike mtanegotiate mwenyewe posho yangu baadae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom