Kwa mnaohitaji kununua magari - tukutane hapa

[30/10 1:21 pm] mushi: Mzigo wa gar umeongezeka
Rav 4 old model kipis 5 milipm
Cresta gx 100 3
Mitahubish pajero gdi 7 tu
Posho tunagawana leta mteja ongeza cha juu hakuna matata
[30/10 2:52 pm] mushi: _ofa nyingine ya magari_
Tiper 93 mpya kabisa ndo imetua 75
113 hozi peke yake 17_

113 complete hoz na bod 45
Canter tiper tan 3 kipya 27
Toyota coaster 1hz 16
*Zote ni kali sana*
*₩pesa zipo kote hamna shaka wewe na mteja na hawaruki*
Imeongezeka carina ti 7.8 laki 3 posho
Njoo inbox omba picha tutafute ugali
_0652472486_ piga smu tafadhali
Tangazo lako limekaa kihuni sana. Hemu acha mambo ya kishamba ya kuchafua uzi wa maana. Nenda kafungue thread yako na ujaze hizi pumba zako.
 
Tangazo lako limekaa kihuni sana. Hemu acha mambo ya kishamba ya kuchafua uzi wa maana. Nenda kafungue thread yako na ujaze hizi pumba zako.


Habari Harmy,

Ninashukuru sana kwakunisaidia kumwambia. Nimejaribu kumwambia lakini naona hakutaka kunisikia na anachokitaka naona ni mzozo, nami nimeamua kujiepusha nae.
 
mwenye toyota hiace tufanye biashara

Habari yako.?!


Hiace ziko aina mbili kuna high roof (dungu) na za kawaida


Sasa naomba uwe more specifically aina ya hiace unayotaka pamoja na mwaka wake.


Ahsante
 
Habari yako.?!


Hiace ziko aina mbili kuna high roof (dungu) na za kawaida


Sasa naomba uwe more specifically aina ya hiace unayotaka pamoja na mwaka wake.


Ahsante

super roof
manual
deasel
3L or 5L
used hapahapa bongo make najua ndo itakuwa ya bei rafiki
 
IMG_20161110_123129.jpg
IMG_20161110_123447.jpg
IMG_20161110_123447.jpg
IMG_20161110_123355.jpg
IMG_20161110_123245.jpg
IMG_20161110_123355.jpg
IMG_20161110_123245.jpg
 
[HASHTAG]#inauzwa[/HASHTAG]
[HASHTAG]#gariinauzwa[/HASHTAG]
[HASHTAG]#natakagari[/HASHTAG]
[HASHTAG]#toyotaaltezza[/HASHTAG]
Make : Toyota
Model : Altezza
Mileage: 148,886km
Engine size: 2000 cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right
Transmission : Manual
Drive : 2 wheel drive
Ext. Co : Silver
M/Year : 1998
Doors : 4
Seats : 5
FEATURES :
Driver Airbag
Passenger airbag
Power Windows
Air Conditioner front
Power Steering
AM/FM Radio
CD Changer
CD Player
Power Mirrors
Price : Tshs 11,998,000/=
BEI INAKUA IMEJUMLISHA PAMOJA NA ;
Ushuru ✅
Port charges ✅
Agency fees ✅
Marine insurance ✅
registration ✅
Bima ya barabarani ❌
ecarstanzania@gmail.com
WAHI SASA!
[HASHTAG]#goodcars[/HASHTAG] [HASHTAG]#exotic[/HASHTAG] [HASHTAG]#cars[/HASHTAG]
[HASHTAG]#ecarstanzania[/HASHTAG]
Unahitaji gari/magari bora kabisa na kwa bei nafuu zaidi lakini fedha uliyonayo ni chache.?! Kama ndio, follow hii account
______________________________
ecarstanzania
ecarstanzania
ecarstanzania
ecarstanzania
@ecarstamzania
ecarstanzania
ecarstanzania
Kwa magari bora zaidi na kwa gharama nafuu kabisa.
Tag a friend to tag a friend
Karibu!
 
Make : Toyota
Model : Corolla
Mileage: 85,965km
Engine size: 1500 cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right
Transmission : Automatic
Drive : 2 wheel drive
Ext. Co : White
M/Year : 1997
Doors : 4
Seats : 5
FEATURES :
Driver Airbag
Power Windows
Air Conditioner front
Power Steering
AM/FM Radio
CD Changer
CD Player
Power Mirrors
Price : $5476
BEI INAKUA IMEJUMLISHA PAMOJA NA ;
Ushuru ✅
Port charges ✅
Agency fees ✅
Marine insurance ✅
registration ✅
Bima ya barabarani ❌
ecarstanzania@gmail.com
WAHI SASA!
IMG_20161112_082134.jpg
IMG_20161112_083504.jpg
 
Habari za asubuhi wanajf,

Natumaini mko vyema.,

Napenda kuwapa taarifa ;

Kuanzia leo au kesho mapema,

Gari nitakazo kua napost nitampa ruhusa kila mmoja aseme bei yake.

Atakae kua na dau kubwa kushinda mwingine basi ndio atakua ananafasi ya kulimiliki gari hilo.

Madau yote yanatakiwa kua kwa usd ($) na sio kwa Tshs.


Ahsante.

MAGARI7


NOTE :

MASHARTI NA VIGEZO VYOTE VITAZINGATIWA.
 
Naomba mwenye kisuzuki carry kizima anisaidia kwa 3m. 0692138944
Habari yako,

Actually 3,000,000/= ni pesa nyingi wala sio.pesa ndogo, napia sio kukusaidia bali ni haki yako.


Ila nakushauri, ni heri ukavumilia, ili uweze kuongeza hela, otherwise, kwa budget hio watakao, watakuuzia gari ambayo unaweza kujuta na siku ukikaa chini kufanya calculation ya gharama za matengenezo ya kila.siku, utajikuta inazidi hata hio hio 3m mwisho wa siku ukijumlisha unakuta gharama zimekua ni sawa na kirikuu yakuagiza. Mbaya zaidi, nawe unakua huwezi kukiuza tena, hivyo inakua ni hasara kwako.


Huo ni ushauri wangu.
 
Habari za asubuhi wanajf,

Natumaini mko vyema.,

Napenda kuwapa taarifa ;

Kuanzia leo au kesho mapema,

Gari nitakazo kua napost nitampa ruhusa kila mmoja aseme bei yake.

Atakae kua na dau kubwa kushinda mwingine basi ndio atakua ananafasi ya kulimiliki gari hilo.

Madau yote yanatakiwa kua kwa usd ($) na sio kwa Tshs.


Ahsante.

MAGARI7


NOTE :

MASHARTI NA VIGEZO VYOTE VITAZINGATIWA.

Mkuu mbona hukunijibu kuhusu Nissani Note ya kati ya mwaka 2006-2007?!
 
Make : Toyota
Model : AltezzA
Mileage :86,000 km
Engine size: 2000 cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right
Transmission : Automatic
Drive : 2 wheel drive
Ext. Color : silver
M/Year : 1999
Doors : 4
Seats : 5
FEATURES :
Driver Airbag
Power Windows
Air Conditioner front
Power Steering
AM/FM Radio
CD Changer
CD Player
Power Mirrors
Price :
BEI INAKUA IMEJUMLISHA PAMOJA NA ;
Ushuru ✅
Port charges ✅
Agency fees ✅
Marine insurance ✅
registration ✅
Bima ya barabarani ❌
ecarstanzania@gmail.com
WAHI SASA!
IMG_20161119_152525.jpg
IMG_20161119_152606.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom