Kwa mliowahi onja adha ya Fumanizi si Mbaya Mkishare!

payuka

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
829
127
Kama umewahi kufunaniwa unamega amri ya sita na mke/mume wa mtu si mbaya ukitoa experience yako, huwa inakuwaje?

  1. Je, ulitamani ardhi ipasuke?
  2. Je, ulimtishia mgoni wako ku-fight back?
  3. Je, ulikimbia ukiwa mtupu?
  4. Je, ulisahau Kufuli wakati wa vurumai?
  5. Je, Ulipodakwa uliwaeleza nini ndugu zako wa jirani, mkeo na watoto?
  6. Je, Walikudaka wakati ndo unakaribia Kufika Kilele Cha Kilimanjaro?
Si mbaya mkishare sababu hizi habari wengine huwa tunazisoma kwenye magazeti tu!
 
Unaona mambo kama haya! mke akipewa kichapo cha nguvu na shemeji zake! hii sio fair, ilitakiwa kwanza aulizwe shida nini mpaka anagawa nje! Je, kama waziri jogoo alikuwa awiki?
mke wa waziri.jpg
 
Sijawahi na mie ni mwoga balaa kuna siku nilikuwa na mke Wa Mwalimu mkuu na mkewe akataka tukaendeleze game nyumbani kwake aliniganda hadi saa Sita usiku alidai mumewe kasafiri. Bahati mbaya huyo bwana ni rafiki yangu na huwa tuna lewa wote. Nilimwambia Yule nwanamke atangulie haijapita nusu saa huku natafakari niende au nisiende mara mumewe anagonga mlango Wa mbele. Just imagine ningekuwa ndani si ingekuwa balaa.
 
Back
Top Bottom