Kwa mliochaguliwa sua

hahaaa, kwa bvm mademu wanakimbia

kuchuna muhimu sana tuu, afu kwa mazimbu wanamix huko huko ila kwa main sijui

kama unataka coz yenye madem wengi nenda btm, rural AEA nk

Hiyo haina kwikwi watatushobokea tu !! Xo katika suala zima la kumalizana hakuna pingamizi ryt? Vp kuhusiana na hali ya hewa?
 
kwa wale wote mliochaguliwa SUA kwanza nawapa pongezi kwa kupata admission...kwa kuwasaidia kama wadogo zangu ni kwamba ORIENTATION COURSE inaanza tar 08/10/2012 hivyo mnatakiwa kuripoti chuoni mapema kwa ajili ya registration hii ni kutokana na almanac ya chuo

kaka nashukuru kwa taarfa zako bt naomba nisaidie little in4mation kuhusu agricultural engineering,
 
Mkuu,HUMAN HEALTH AND NUTRITION ikoje,nikimaanisha kimsuli na ktk soko la ajiri,msaada wenu wakuu
 
Kozi ya mademu hiyo huma nutrition...yaaani ni akina mama na babs lishe....nenda agronomy au engeneering ndo utasikia utamu kama uko sua au uko wapi
 
Hivi nafanyeje kubadilisha chuo kama TCU wamenichagulia chuo ambacho mimi sijakipenda?? Naombeni msaada maaana nimepata Bagamoyo University, ada yao ni kubwa sana, nataka sasa niweze kuhama.
 
Thx sana mkuu,kikubwa ilikuwa nikupata tiketi ya kuingia hapo SUA bt kwakuwa nishapata swala la kubadilisha coz halitakuwa gumu?
 
basi tu naona una informatn za bvm vp ulikuwa unapiga hii kozi au

Duh! Hao jamaa wa BVM mwaka wetu walichinjwa karibu nusu ya darasa just on the first semester...anyway, siwatishi madogo ila inabidi mkaze; ukimjua adui yako in advance unakuwa ktk mazingira mazingira mazuri ya ku-win victory!
 
jamani mie nimekua admitted sua lakini jina langu halipo kwenye website ya sua,inakuwaje hapo wadau?
 
Hivi nafanyeje kubadilisha chuo kama TCU wamenichagulia chuo ambacho mimi sijakipenda?? Naombeni msaada maaana nimepata Bagamoyo University, ada yao ni kubwa sana, nataka sasa niweze kuhama.

dah kama ulikijaza na ukapelekwa hapo mziki wake ni mkubwa kuliko subwoofer,,,unlec walikuallocate ungeweza apply second round bt tym nayo ndo ishafly
 
Kwa sasa SUA mambo mengi yameboreshwa,,,,I can see that watu wanulizia hadi bei za misosi,,,tell me akikuambia bei iko juu na ndo ushapata admission, vipi utaghairi,,,nilidhani moja kat ya sababu nyingi zilizotufanya tugome miaka ya nyuma ili boom liongezeke ilikuwa ni kwa sababu ya kupanda kwa gharama za maisha including food....

Kuhusu mavazi - I think you have to be SMART,,,,haitarajiwa sasa wewe umeanza kuutafuta usomi unavaa kama kondakta, mara kata k, mini iliyopitiliza,,,,no pleease...

Karibuni mimi nafanya MSC
 
Back
Top Bottom