Kwa mliochaguliwa sua

Wale wa Bvm shule inaanza on the sport siku ya kufungua, na haina kuremba kitu cha anatomy, biochemistry kama kawa kama vp anza kupata reference mana quiz ni kama kawa kila baada pindi...
 
Ushawahi kupewa pepa, pembeni unawekewa maji baridi na pipi ili uufurahie mtihani wako? karibuni Sua...
 
Wale wa Bvm shule inaanza on the sport siku ya kufungua, na haina kuremba kitu cha anatomy, biochemistry kama kawa kama vp anza kupata reference mana quiz ni kama kawa kila baada pindi...

duuh nishasahau kila ki2 kwenye bioz !! Hahaha imekula kwangu
 
basi tu naona una informatn za bvm vp ulikuwa unapiga hii kozi au

Yap, ndiyo kozi niliyosoma na ni fani yangu kwa sasa, kiukweli ni kozi yenye mambo mengi kidogo ila yanayoeleweka, na msingi wa mafanikio ni self comitment pia determination... wish you great archivements...
 
daah mkubwa hebu tupe more informatn abt diz kozi
 
Sijaelewa ni info zipi uzitakazo mana maelekezo mengi including taratibu, sheria, na miongozo yote ya kozi unapewa mara unaporipoti chuo, vitu vya msingi kwenda navyo ni kama boot, labcot(nyeupe), fedha za kununua vitabu ikumbukwe vingi ni ghali, na vitu vingine vya kiuanafunzi...
 
duuh !! Kwani hapo chuoni hakuna library ya vitabu?? Kusuhu hilo labcoat and boots siwezi pata hapo chuoni au ni lazma ununue huku madukani uje nazo !! Na zinatoka kwa bei Gani?
 
labcoat muhimu ukawa nayo mapema kama umechaguliwa bvm, ila gumboots ukifika chuon utanunua mana nazo ni muhimu. Karibu sua shule sio ngumu wala rahis ila u must work hard otherwise u will fail 2 exist
 
Back
Top Bottom