Kwa mlio na experience khs wafanyakaz wandani waliokatika umri huu tusaidiane!

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wadau naomba mawazo yenu hapa nyumbani nilikuwa na wadogo zangu waliokuwa wanakaa na huyu mwanaetu wa miaka 5 aliyeanza shule sasa na kusaidia kazi za nyumbani lakini kwa sasa wameenda kusoma nimejaribu kutafuta mfanyakazi nimeambiwa na ndugu yangu mmoja wa nyumbani atanifanyia mpango wa mfanyakazi isipokuwa huyu mfanyakaz si mtoto ni mwanamke ana mtoto mtoto wake mara nyingi anakaa kwa bibi yake hvyo huyo mwanamke atamsafirisha aje huku mkoa mwingine kwajili ya kazi hivi kutokana na maelezo haya wenye uzoefu mnaongeleaje wafanyakazi kama hawa?
 
huwa maranyingi wanakuwa wazuri sana manake wameishapambana na ugumu wa maisha, pia hujituma sana kumbuka huyo ni mtu mzima hvyo unashauriwa kuishi nae kiutu uzima kama ni mkali mwambie tu kwa ukalimu akikosea na akizoea muache ajipangia ratiba ya kazi zake. Mara nyingi hawapendi kuingiliwa. Si unajua baadhi ya akinamama waajiri nikero mtu anaosha vyombo anaambiwa acha kwanza muoshe mtoto anatalala, anadeki unamwambia kwanini usingefua nguo za mtoto kwanza? Haipendezi namna hyo mtoto anaweza kuvumilia lkn mkubwa atadai kuondoka. Ila baadhi yao pia ni wakorofi na huwa na dharau.Ni hayo tu.
 
Kuzaa na utu uzima ni vitu viwili tofauti!

Unatafuta mtu mzima au aliyekwisha zaa?

To jibu nikupe ushauri wangu
 
kweli naungana na wewe swala ni mtu mzima au aliyezaa ili upate ushauri...................?
 
Kuzaa na utu uzima ni vitu viwili tofauti!

Unatafuta mtu mzima au aliyekwisha zaa?

To jibu nikupe ushauri wangu

watu na joa naomba mnielewe sio kwamba natafuta kwa aliyekarib na mfanyakazi hapana namaanisha nilikuwa natafuta ila kuna ndugu yangu kaniambia ataniletea mfanyakaz kutoka iringa mi niko mbeya nilipomuuliza zaidi kuhusu aina ya mfanyakazi huyo ndipo akaniambia ni mwanamke ambaye anamtoto ila mtoto hyo anakaa na atabaki kwa bibi yake atakuja huyo mwanamke tu ndipo nikaona niwaulize wenzangu kama mna experienc na aina hii ya wafanyakazi kama huwa kazi zinafanyika vizuri au wanawasifa gani? Ni hivyo!
 
Back
Top Bottom